• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAKIWA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIBONDO KUJUA HATIMA YA WALIMU WAO WALIOHAMISHWA.

Posted on: August 28th, 2017

Wanafunzi wa Kidato cha Sita (VI) wa Malagarasi Sekondari iliyopo Wilayani Kibondo, watinga Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kutaka kufahamu hatima ya walimu wa Tano (5) ambao wamehamishwa kutoka shule hiyo  wanaofundisha Kidato hicho cha sita Masomo ya Sanaa (Art).

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kibondo, pamoja na Wanafunzi hao kuja bila taarifa rasmi kwa Maandamano, alitoka ndani ya Ofisi na kukaribisha kundi la wanafunzi hao ofisini kwake ili asikilize lengo la kuandamana hadi ofisini kwake. Bwn: Juma Mnwele anayeonekana Mezani Mbele ya Wanafunzi,  akisikiliza kwa makini Wanafunzi  akiwa na Ofisa wa Elimu Sekondari Bi. Honoratha Kabunduguru Kulia kwake.

Wanafunzi hao walihoji kwamba. Tunahitaji kufaham kwanini Walimu wetu wamehamishwa kutoka shuleni huku tukiwa hatuna walimu wakutosha, na wengine kudai kwamba haiwezikani kuhamishwa kwa Walimu hao wakati wamezoeana nao huku wakiwafundisha hata masomo ya ziada bule.  Wengi mawazo yao yakifanana kama Ndg. Joseph Buhunie, Jamary, Nasra na Malilo Abdul wote Kidato cha sita.

Majibu ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya Kibondo, yalikuwa kama ifuatavyo:

"Nafikili ndg. Wanafunzi nyote ni Kidato cha Sita, na bila shaka nyie ni watu wazima. Naomba kuwaambia kwamba tumefanya hivyo kwa kuwapenda nyie sivyo mnavyoweza kufikilia, nafahamu hili lazima liwaumize, na hii ni kawaida ya Binadamu ukizoeana na Mtu anapohama, ndiyo maana hata katika sherehe zenu za kuagana inatokea mtu analia hiyo ni kawaida. Lakini pia Serikali yetu nisikivu mno, haitaweza kuwacha nyie bila kuwa na walimu huku kukiwa na upungufu wa walimu kiasi hicho. Nawaahidi kwamba muda si mrefu mtawapata waalimu wazuri sawa na hao walioondoka au hata zaidi. Tunajitahidi sana ili muwapate. Nawashauri  kwamba msishawishiane au kudanganyana kwa ajili ya Migomo kwa sababu zisizo sahihi, Someni, walimu hao mliwakuta na wameondoka  wengine watakuja wanawakuteni nyiye. Na siwezi kuwaambia kwanini Walimu hao wamehamishwa isipokuwa nawaambieni tena someni bila shida kwa amani kwani tumefanya hayo kwa kuwapenda nyiye ili mfanikiwe " 

Na  Ofisa wa Elimu Sekondari alitoa ushauri kwa Wanafunzi hao akisema " Kazi yenu iliyowaleta pale shuleni siyo kufahamu kwanini mwalimu anahamishwa bali ni kusoma, hivyo haina sababu ya kuwaambia sababu ya wao kuhama isipokuwa ni kuwatakieni nyiye mafanikio ili msome na mfanye vizuri" 

Kwa maswali mengi yaliyoulizwa na wanafunzi hao baadae moyo wao uriwarudi na hivyo kuona kwamba kufika ofisini ya Mkurugenzi kuna mafanikio  hivyo kuomba Mkurugenzi mtendaji kuboresha mazingira ya shuleni kwao hasa kwa tabia za walezi wao Walimu kuwa na upendo wa dhati kwao. Ombi hilo liliombwa na Mwanafunzi anayeitwa Taifa akisema:

"Hapa Duniani siko tayali kumuita binadamu kama Mungu kwani naamini katika Biblia na Kroani, tabia hizi za pale shuleni baadhi ya walezi kutuambia kwamba usiponiita Mungu utapata shida na wengine kutuambia eti sisi ni yatima, tunaomba msaada katika hilo.

Majibu ya Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa huyo wa Elimu Sekondari, walichukua hilo tena kwa masikitiko wakiahidi kwamba leo saa 8 mchana tutakuja kuongea na Uongozi wenu wa shule lengo ni kubaini mapungufu ili kurekebisha kasoro na matatizo kama hayo. Japo leo sikupenda niwarudishe kwakuwa ndiyo siku niliyokuwa nimepanga kuja huko

Wanafunzi hao walifarijika sana.na Mkurugenzi alimalizia kwa kuwaambia kwamba kwasasa Mmekuwa Watoro pale shuleni sidhani kama mmekuja hapa kwa taarifa maalum, nawashauri hata siku nyingine msifanye hivyo. 

Fomu six oyee! alimalizia Mkurugenzi.




Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.