• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WA VITUO JIMBO LA MUHAMBWE

Posted on: October 25th, 2025

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muhambwe Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Ndg. Daudi Mapunda, amefungua rasmi zoezi la mafunzo kwa makarani wa usimamizi wa vituo vya kupigia kura Leo 25.10.2025 likiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.


Mafunzo hayo yanayofanyika katika kumbi mbalimbali Wilayani Kibondo yameanza leo na kutarajiwa kumalizika tarehe 27 Oktoba 2025. Mafunzo hayo yanawahusisha makarani waongoza wapiga kura, ambapo wanajifunza kwa vitendo namna ya kujaza fomu namba 6 na fomu namba 7 pamoja na kutimiza viapo vyao vya kazi.


Akizungumza wakati wa ufunguzi, Ndg. Mapunda amewataka makarani hao kufuata kwa umakini maelekezo watakayopatiwa katika mafunzo hayo, kuzingatia wajibu wao, na kuhakikisha wanatoa kipaumbele kwa watu wenye uhitaji maalumu kama wajawazito, wazee na watu wenye ulemavu.


Aidha, amewasisitiza kufuata taratibu za kanuni za uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025, zinazohusu usahihi wa kujaza fomu husika.


Kwa upande wake, Msimamizi wa Mafunzo katika kituo cha FDC Kibondo, Ndg. CPA Sospeter M. Makene, amewataka makarani kutambua majukumu yao ikiwa ni pamoja na kuwaelekeza wapiga kura watakaoshindwa kutambua vituo vyao walivyopangiwa.


Katika mafunzo hayo, makarani walipata nafasi ya kufanya mazoezi ya upigaji kura kwa vitendo, hatua iliyowasaidia kuelewa kwa undani majukumu yao siku ya uchaguzi pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kuhusu utekelezaji wa majukumu yao.


Mafunzo hayo yanafanyika ili kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 unafanyika kwa Amani, Uwazi na Usawa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • KUITWA KAZINI June 26, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAFANYA MAFUNZO KWA WASINAMIZI NA WASINAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MUHAMBWE HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

    October 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WA VITUO JIMBO LA MUHAMBWE

    October 25, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KIBONDO ATOA HAKIKISHO LA USALAMA SIKU YA KUPIGA KURA

    October 23, 2025
  • DC MAGWAZA APOKEA MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA WILAYA YA KIBONDO

    September 16, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.