• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAFANYA MAFUNZO KWA WASINAMIZI NA WASINAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MUHAMBWE HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

Posted on: October 26th, 2025

Tume Huru ya Taifa  Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo imeendelea na mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura leo tarehe 26 Oktoba 2025, ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi kuelekea zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025. Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo wahusika kuhusu taratibu na weledi utakaosaidia kurahisisha usimamizi wa uchaguzi kwa haki na uwazi.


Akiongea katika mafunzo hayo Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muhambwe wilaya ya Kibondo Ndugu Daud Mapunda amewasisitiza wasimamizi wa vituo na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura kuwa wajitahidi kujiepusha kuwa vyanzo vya malalamiko kutoka vyama vya Siasa kwa kushirikiana vyema na mawakala wa vyama vya Siasa watakaokuwepo Vituon kwa mujibu wa Sheria.Amewataka kufanya kazi kwa ushirikiano kama timu ili kufanikisha Uchaguzi katika Vituo watakavyopangiwa.


Mwakilishi wa Mkuu wa TAKUKURU Kibondo, Ndg. Balamu J. Kisumo amewataka wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo kujiepusha na vitendo vya rushwa. Pia amewataka kutoa taarifa za rushwa na viashiria vyake katika maeneo yao. Ofisi za TAKUKURU ziko wazi kwa masaa 24.

Mafunzo yanafanyika kwa siku mbili(Tarehe 26 - 27 Oktoba 2025).

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • KUITWA KAZINI June 26, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAFANYA MAFUNZO KWA WASINAMIZI NA WASINAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MUHAMBWE HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

    October 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WA VITUO JIMBO LA MUHAMBWE

    October 25, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KIBONDO ATOA HAKIKISHO LA USALAMA SIKU YA KUPIGA KURA

    October 23, 2025
  • DC MAGWAZA APOKEA MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA WILAYA YA KIBONDO

    September 16, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.