• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA KIBONDO ATOA HAKIKISHO LA USALAMA SIKU YA KUPIGA KURA

Posted on: October 23rd, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Mhe. Kanali (Mstf) Aggrey J. Magwaza, amewahakikishia viongozi wa dini wilayani humo kuwa wasiwe na hofu kuhusu siku ya uchaguzi, akisisitiza kuwa uchaguzi utafanyika katika mazingira ya amani na usalama wa kutosha.


Akizungumza tarehe 22 Oktoba 2025 katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Mhe. Magwaza aliwataka viongozi wa dini kuwaelimisha waumini wao kuendelea na shughuli zao kwa utulivu, kwani vyombo vya ulinzi na usalama vimeimarishwa kikamilifu kuhakikisha hali ya amani inadumu kabla, wakati na baada ya uchaguzi.


Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Kibondo aliwahimiza viongozi wa dini kuendelea kuwalinda waumini kiroho na kushirikiana na jeshi la polisi katika kulinda usalama wa raia na mali zao.


Aidha, viongozi wa dini walitoa ushauri kwa serikali kuendelea kuwashirikisha katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya jamii, wakisisitiza kuwa ushirikiano kati ya serikali na taasisi za dini ni muhimu katika kujenga taifa lenye umoja, amani na ustawi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • KUITWA KAZINI June 26, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAFANYA MAFUNZO KWA WASINAMIZI NA WASINAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MUHAMBWE HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

    October 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WA VITUO JIMBO LA MUHAMBWE

    October 25, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KIBONDO ATOA HAKIKISHO LA USALAMA SIKU YA KUPIGA KURA

    October 23, 2025
  • DC MAGWAZA APOKEA MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA WILAYA YA KIBONDO

    September 16, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.