Mkuu wa wilaya ya Kibondo Kanali Aggrey Magwaza akabidhi vikundi viitatu vya wajasiriamali KIbondo vyerehani 21 za kushonea nguo ikiwa ni msaada uliotolewa na ofisi ya Waziri mkuu kwa nchi nzima.Makabidhiano hayo yamefanyika tarehe 29/11/2022 ofisini kwa mkuu wa wilaya ya kibondo.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.