Kampeni ya uhamasishaji wa utoaji wa umuhimu wa elimu ya lishe umefanyika katika kata mbalimbali ikiwepo kata ya Murungu pamoja na kata ya Busunzu.Akitoa ufafanuzi wa masuala ya Lishe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Kumhasha Afisa Lishe wilaya Bw .Tumani J.Muna amesema wanacchi waanze kutumia vyakula lishe ili familia zao ziwe na afya bora na ziweze kuzalisha chakula kwa wingi ili kuweza kuleta maendeleo.Mkutano huo ulifanyika tarehe 20/6/2023.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.