• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAZINGIRA YETU AFYA YETU

Posted on: June 5th, 2025

Katika kuadhimisha siku ya mazingira Duniani, Wilayani Kibondo wananchi, watumishi Pamoja na wanafunzi wa chuo cha utabibu na wauguzi walijitokeza katika kufanya shughuli za usafi eneo la Hospitali ya Wilaya.

Akiongoza zoezi la usafi huo Bwana Shekarata Bakari Omary ambaye ni Mwakilishi wa Mhe: Mkuu wa Wilaya ya Kibondo amewapongeza watumishi wote Pamoja na wananchi waliojitokeza katika kilele cha maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kwa kufanya usafi maeneo ya Hospitalini hapo.

‘’kwa siku ya leo watumishi wilaya ya kibondo kushirikiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali yetu tumejikita zaidi katika kufanya usafi maeneo ya hospitali ili mazingira yaendelee kua rafiki kwani tunaamini mtu anapokuja hospital kwa ajili ya huduma za afya na kukuta mazingira ni salama huweza kumpa haueni’’ Aliongea Bwana Shekarata.

Vilevile ameelezea juhudi zinazotekelezwa na Serikali katika shughuli za mazingira ikiwa ni moja ya mambo endelevu yaliojumuishwa katika ilani ya chama tawala iliyozinduliwa siku za hivi karibuni hivyo amewasisitiza wananchi kuendelea kufanya shughuli za utunzaji mazingira kwani mazingira pia ndio yanayosaidia kutunza watu katika shughuli zao za kila siku.

Nae Mganga Mfawidhi Daktari Cornely Nibiki amewashukuru wananchi na watumishi wote katika wilaya ya kibondo kwa kujitokeza kufanya usafi Hospitalini hapo na kutoa wito kwa jamii kuendelea kushirikiana na Hospital ya Wilaya katika shughuli za kuboresha mazingira kwani uboreshaji mazingira pia huweza kuimarisha afya katika jamii.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAZINGIRA YETU AFYA YETU

    June 05, 2025
  • WATENDAJI WA HALMASHAURI WAPEWA AGIZO LA KUHAMASISHA LISHE SHULENI

    May 16, 2025
  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.