• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU - KIBONDO

Posted on: October 4th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kibondo  Mhe. Kanali Aggrey John Magwaza, amewaongoza wananchi wa wilaya ya Kibondo katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru.

Mapokezi yamefanyika katika kata ya Busunzu, shule ya msingi Busunzu B.

Ukiwa Wilayani Kibondo, Mwnege wa Uhuru utazindua miradi mitatu

1. Kituo cha Mafuta - Eng. Nditiye,

2. Daraja la mawe - Nyamilembi

3. Chumba cha darasa - Moyowosi S.S

Utaweka mawe ya msingi miradi miwili

1. Jengo la EMD - Hospitali ya Wilaya Kibondo

2. Mradi wa Maji - Nyamkokoma, Bitare

Vile vile utakagua kikundi kimoja cha vijana waliopata mkopo wa Halmashauri.

1. Kikundi cha boda boda maduka saba.

Katika mapokezi hayo, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ndg. Sahil Nyanzabara Geraruma aliwafikishia wananchi shukran za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kujitokeza kuhesabiwa wakati wa Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwezi Agosti 2022.

Aliwataka waendelee kuwa na subira wakati mamlaka husija zinaendelea kuchakata taarifa za Sensa. Pindi zitakapotolewa wazitumie kwa usahihi ili kufikia malengo yake.

Vile vile aliwataka watumishi wa umma na wasimamizi wote watakaohusika katika utekelezaji wa miradi kuzingatia maelekezo na kutekeleza miradi hiyo kwa viwango bora ili kuleta tija. Pochi la mama linaendelea kufunguka ili kuwaletea watanzania maendeleo, hivyo Mwenge wa Uhuru hautosita kuangaza popote pale penye ubadhirifu au usimamizi mbovu.

Pia aliwataka wananchi kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa, madawa ya kulevya, malaria na kuzingatia kanuni za lishe bora.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI MSAIDI WA KUMBUKUMBU June 27, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA KIGOMA AWASISITIZA WATUMISHI WA KIBONDO KUWEKA MKAZO KWENYE UWEKEZAJI

    July 10, 2025
  • MKUU WA WILAYA KIBONDO AWAPONGEZA NA KUWAAGA WAHE. MADIWANI

    June 20, 2025
  • WAZAZI KUHIMIZWA KUTETEA NA KULINDA MASLAHI MAPANA YA MTOTO

    June 19, 2025
  • MAZINGIRA YETU AFYA YETU

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.