Mwenyekiti wa halmashuri ya Wilaya ya Kibondo Mh Habil Maseke ametoa maelekezo kwa kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Kibondo kuwa anataka miradi yote ya maendeleo inayojengwa kibondo kukamilika kwa wakati.Amesema hayo katika ziara ya kamati ya fedha uongozi na mipango ilipotembelea ujenzi wa nyumba ya mtumishi katika kituo cha afya Kagezi ambapo ujenzi wa mradio huo uko katika hatua za upigaji ripu.Mradi huo unagharimu tsh 90,000,000 milioni.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.