Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo anapatikana kwenye Ofisi yake iliyopo ndani ya Jengo jipya la Halmashauri ya wilya ya Kibondo, kila siku ya:
Jumanne na Alhamisi
kila Wiki kwa ajili ya kusikiliza kero na shida mbalimbali za Wananchi na Watumishi.
Nyote mnakaribishwa.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.