• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MRATIBU WA MRADI WA WA MAZINGIRA NDG: TERRY RAPHAEL AKISOMA TAARIFA YA MAZINGIRA MBELE YA MGENI RASMI MH. MKUU WA WILAYA KIBONDO

Posted on: November 9th, 2017

Ndg: Terry Raphael, Mratibu wa Mazingira  Shirika la TCRS Wakimbizi Wilayani Kibondo, amesoma taarifa ya Mradi wa Maji, Afya, Usafi wa Jamii na Mazingira wilayani Kibondo Mbele ya Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya, aliyealikwa kuhudhuria Uzinduzi wa Usafi na Mazingira Wilayani Kibondo iliyozinduliwa rasmi leo tar. 09.11.2017.

UTANGULIZI:

TCRS, iliingia Mkoani Kigoma mnamo mwaka 1981 kusimamia urejeshwaji wa wakimbizi nchini Burundi, lakini ikawa pia inafanya shughuli za maendeleo Kigoma vijijini na baadhi ya Vijiji vya Kasulu. Uongozi wa Mkoa uliomba TCRS ifungue Ofisi Wilayani kibondo kwa ajili ya Maendeleo ya wanchi. TCRS, ilifungua Ofisi yake Kibondo kuanzia mwaka 1986 na kushirikiana na Uongozi wa Wilaya na Wananchi wa Kibondo kwa shughuli za maendeleo, kazi ambayo inaendelea mpaka sasa.

TCRS, kwa ufadhiri wa Norwegian Church Aid (NCA) kuanzia mwaka 2015 ilianza kushirikiana na Idara za Halmashauri ya Kibondo pamoja na Wanchi katika kufanya kazi za WASH (water, sanitation and hygiene) katika vijiji 7 vya Wilaya ya Kibondo na 5 Wilaya ya Kakonko.

TCRS katika Wilaya Kibondo shirika lipo kwenye Vijiji vya Rusohoko, Kigendeka, Kigogo, Nyange, Minyinya, Kumshwabure na Kumsenga. Lakini mwaka 2016, TCRS iliacha kufanya kazi za Maji, Afya na Usafi wa Mazingira kwenye Vijiji vya kumshwabure na Kumsenga kutokana na upungufu wa fedha kutoka kwa Wafadhili, hivyo kubaki na Vijiji 5 katika Wilaya ya Kibondo.

MAFANIKIO:

Kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Idara ya Maji Afya, Usafi wa Jamii na Mazingira pamoja na wananchi katika vijiji husika shirika limefanikiwa kufanya yafuatayo:

  1. Kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu kuhifadhi na utunzaji wa vyanzo vya maji. Vile vile Viongozi wa Vijiji wamepewa Mafunzo juu ya Utawala bora na usimamizi mzuri wa Miradi ya Maji
  2. Kuunda Kamati za Maji COWSO katika Vijiji vyote vya Mradi. Kamati 10, zimeundwa zikiwa na Wajumbe 120 (60 Me 60 Ke).
  3. Kukarabati tanki 2 za maji kwenye shule ya Rusohoko na Kigendeka.
  4. Kukarabati vyanzo vya maji 8 (water springs)  Kiduduye 2, Kasongati 2, Kiga, Nyange, Kigogo na Minyinya.
  5. Kukarabati Visima Vifupi 7 (water sallow-wells) Kiduduye, Kiyobera 2, Rusohoko, Nyange, Kiga 2.
  6. Kuundwa kwa Kamati ya PETS kwa ajili ya kufuatilia miradi ya maji pamoja na miradi mingine Kijijini.
  7. Kujenga visima vifupi, Itumbiko na Kiyobera mwaka huu 2017 

CHANGAMOTO:

  1. Utegemezi kwa Wananchi wetu ni mkubwa kiasi kwamba Watu wengine wanataka kuchimbiwa vyoo na TCRS au Halmashauri/Serikali.
  2. Wananchi kutokuwa tayali kuchangia maji kama sera ya maji nchini inavyoelekeza
  3. kutokuwepo kwa sheria ndogo ndogo vijijini na kuzitumia.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.