• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZAZI KUHIMIZWA KUTETEA NA KULINDA MASLAHI MAPANA YA MTOTO

Posted on: June 19th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Mhe: Aggrey John Magwaza amewakumbusha wazazi kuwa na usimamizi mzuri wa maslahi ya Watoto ili kuendelea kuzilinda haki zao.

Mhe: Magwaza ameyasema hayo katika sherehe za maadhimisho ya kilele cha siku ya Mtoto wa Afrika 2025 yaliofanyika kiwilaya kata ya Murungu Kijiji cha Kumuhasha viwanja vya Shule ya Msingi Nyavyumbu.

“Watoto wanatakiwa wapewe ulinzi, walale mahali pazuri, wakati wote mzazi au mlezi ujue mtoto wako yuko wapi, anacheza na akina nani, muepushe na watu wenye nia mbaya” alieleza Mkuu wa Wilaya.

Vilevile amesisitiza wazazi pamoja na walezi kutumia vyombo vya Serikali ikijumuisha madawati ya ulinzi wa mtoto endapo watakapokumbwa na matatizo yahusuyo haki zao.

Pamoja na hayo ameelezea namna Serikali ilivyoimarisha hali ya upatikanaji wa elimu kwa Watoto kwa kupunguza umbali ambapo mtoto anaweza kupata elimu karibu na mazingira anayoishi ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa shule shikizi ili Watoto wenye umri mdogo waweze kufikiwa kwa ukaribu, na shule zilizokuwa na msongamano Serikali imeongeza madarasa mfano shule ya msingi Kumuhasha Iliyoongezewa madarasa kwa ajili ya kupunguza msongamano wa wanafunzi na kwingine imelazimika kujenga shule mpya.

Aidha amewataka wazazi kuwa karibu na Watoto kwa kuwaruhusu kuwa na nafasi ya kutoa maoni katika mambo ambayo yanawahusu kwani wakiwaweka karibu nao huwasaidia kuondoa hofu na watakua tayari kuongea mambo yanayowahusu na wanayoyapitia mfano changamoto za ukatili kwa Watoto.

Nae Afisa ustawi wa jamii Bwn: Magubiki Masebya amewakumbusha wanajamii kuzingatia maslahi mapana ya Mtoto na kuhakikisha haki zao za msingi zinatekelezwa kwa vitendo ikijumuisha Haki ya kuishi, Haki ya Kuendelezwa, Haki ya kutobaguliwa ,Haki ya kulindwa  na Haki ya kushiriki kutoa maoni katika mambo yanayowahusu.

Siku ya Mtoto wa Afrika mwaka huu imebeba kaulimbiu  “Haki za Watoto: Tulipotoka, Tulipo na Tuendako”. Siku hii huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni ikiwa ni kumbukumbu ya Maandamano ya wanafunzi katika utawala wa makaburu kitongoji cha Soweto Nchini Afrika Kusini yaliotokea tarehe 16 Juni 1976 kwa lengo la kupinga mfumo wa elimu ya kibaguzi.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI MSAIDI WA KUMBUKUMBU June 27, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA KIGOMA AWASISITIZA WATUMISHI WA KIBONDO KUWEKA MKAZO KWENYE UWEKEZAJI

    July 10, 2025
  • MKUU WA WILAYA KIBONDO AWAPONGEZA NA KUWAAGA WAHE. MADIWANI

    June 20, 2025
  • WAZAZI KUHIMIZWA KUTETEA NA KULINDA MASLAHI MAPANA YA MTOTO

    June 19, 2025
  • MAZINGIRA YETU AFYA YETU

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.