• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAONESHO YA NANENANE YAWAPA FURSA WAKULIMA KUONGEZA TIJA

Posted on: August 8th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, IGP (Mst) Balozi Simon Sirro, amewataka wakulima nchini kutumia fursa za mafunzo yanayotolewa kupitia maonesho ya Nanenane ili kuongeza tija na kupata mazao bora yatakayokidhi mahitaji ya soko.


Akihitimisha maonesho ya Nanenane, Agosti 8, 2025, katika viwanja vya Ipuli mkoani Tabora, ambayo yalihusisha wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo na mifugo, Balozi Sirro alisema maonesho hayo yanapaswa kuwa chachu ya kuwakutanisha wakulima wakubwa na wadogo na masoko makubwa ndani na nje ya nchi.


“Ili kupata masoko ya uhakika ni lazima bidhaa ziwe na vifungashio vinavyoonesha viungo vilivyomo, ili kujitangaza zaidi na kuvutia wanunuzi,” alisema Balozi Sirro.


Aidha, aliwasihi wafugaji kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchanjaji wa mifugo ili kuzuia vifo vinavyosababishwa na magonjwa.


Kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya, Mheshimiwa Mwakisu aliishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu wa kilimo kilimo ametoa mbolea ya ruzuki Kwa ajili ya kilimo chenye tija Kwa kuongeza mnyororo wa thaman katika mazao.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI MSAIDI WA KUMBUKUMBU June 27, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAONESHO YA NANENANE YAWAPA FURSA WAKULIMA KUONGEZA TIJA

    August 08, 2025
  • MKUU WA MKOA TABORA AAGIZA UJENZI WA MABANDA YA KUDUMU KATIKA VIWANJA VYA NANENANE IPULI

    August 02, 2025
  • MKUU WA MKOA WA KIGOMA AWASISITIZA WATUMISHI WA KIBONDO KUWEKA MKAZO KWENYE UWEKEZAJI

    July 10, 2025
  • MKUU WA WILAYA KIBONDO AWAPONGEZA NA KUWAAGA WAHE. MADIWANI

    June 20, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.