• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA KIBONDO AWAPONGEZA NA KUWAAGA WAHE. MADIWANI

Posted on: June 20th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Kanali Aggrey J. Magwaza amewapongeza na kuwaaga Wahe. Madiwani wa Halmashauri hiyo katika hafla ya kuvunja rasmi Mabaraza ya Madiwani.

Hafla hiyo ya kuwapongeza na kuwaaaga Madiwani hao ilifanya Tarehe 20.06.2025 katika hotel ya swedish Wilayani Kibondo.

Akizungumza mara baada ya kukaribishwa kutoa hotuba katika hafla hiyo Kanali Aggrey amesema Lengo ni kuwapongeza kwa Jitihada walizozifanya katika kipindi chote cha Miaka 5 walichohudumia wananchi wa Kibondo hususani kwenye usimamizi wa miradi ya Maendeleo.

Amewapongeza Kwa kushirikiana vizur na Watumishi wa serikali ikiwemo kuhakikisha Amani na Utulivu vinaendelea kupatikana Wilayani Kibondo pamoja na kutatua migogoro iliyojitokeza katika baadhi ya maeneo katika kata zao.

Amesema katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya sita Kinachoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani Pesa nyingi zimetolewa na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na Madiwani wa Kibondo wamekuwa mstari wa mbele kusimamia kwa karibu uanzishwaji na ukamilishaji wa Miradi hiyo.

Pamoja na hayo amewatakia kila la kheri Madiwani watakaochukua hatua ya kugombea tena uongozi na kuwataka kwenda kushiriki katika uchaguzi wa haki.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kibondo  Bwn: Diocles M. Rutema amewashukuru na kuwapongeza Madiwani hao Kwa kuwa Sehemu ya uongozi mzuri katika kipindi cha miaka mitano ikiwemo kuweza kufanikisha usimamizi na Ukamilishaji wa Miradi mbali mbali ikiwemo ya elimu katika Kata zao.

Aidha hafla hiyo ilikwenda sambamba na zoezi la kugawa vyeti Kwa Madiwani hao wanaomaliza muda wao ikiwa ni Ishara ya uongozi mzuri waliouonyesha Wilayani Kibondo.

Hafla hiyo ya Pongezi Kwa Madiwani ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyama vya siasa, Madiwani watumishi kutoka ofisi ya Mkuu wa Wilaya, viongozi wa Taasisi, wakuu wa idara/ Vitengo, Watendaji wa Kata/ Vijiji na baadhi ya wananchi wa wilaya ya Kibondo.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI MSAIDI WA KUMBUKUMBU June 27, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA KIGOMA AWASISITIZA WATUMISHI WA KIBONDO KUWEKA MKAZO KWENYE UWEKEZAJI

    July 10, 2025
  • MKUU WA WILAYA KIBONDO AWAPONGEZA NA KUWAAGA WAHE. MADIWANI

    June 20, 2025
  • WAZAZI KUHIMIZWA KUTETEA NA KULINDA MASLAHI MAPANA YA MTOTO

    June 19, 2025
  • MAZINGIRA YETU AFYA YETU

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.