• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAIMU MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO AKITOA NENO LA UKARIBISHO KWA MGENI RASMI MH. MKUU WA WILYA KIBONDO WAKATI WA UZINDUZI WA MRADI WA KUIMARISHA UTAWALA BORA WILAYANI KIBONDO

Posted on: November 7th, 2017

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo akitoa neno la Ukaribisho kwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Mradi wa Kuimalisha Utawala bora na Uwajibikaji.

Baada ya Ukaribisho kwa Mgeni rasmi, Kaimu Mkurugenzi alimuinua Meneja wa Mradi ili aeleze Historia fupi nakisha kueleza maana ya Mradi huo.

UTANGULIZI:

Kigoma Youth Agricultural Development Organization  (KIYADO) ni shirika lisili la kiserikali ( Non Governmental Organization)  lililosajiliwa chini  ya sheria ya  mashirika yasiyokuwa ya kiserikali  Na.24  ya mwaka 2002 kifungu cha  12. KIYADO ilisajiliwa rasmi tarehe  19th Novemba, 2010 nakupewa hati ya usajili Namba 06NGO/00004273 .qKIYADO imesajiliwa chini ya Sheria ya Mamalaka ya mapato Tanzania  na kupewa TIN 129-935-928, hifadhi ya jamii chini ya  Mfuko wa LAPF kwa namba PC 140 chini ya kifungu cha 16 (1) ya LAPF Pension Fund Act, No.9 ya mwaka  2006.q KIYADO imesajiliwa chini ya mfuko wa fidia kwa wafanyakazi kwa namba  008365 chini  ya  sheria ya Fidia  kwa wafanyakazi CAP263R.E.2015


WADAU WANAOSHIRIKI KATIKA MRADI HUU:

  • OXFAM BELIGIUMqOXFAM TANZANIA
  • Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)
  • Halmashauri ya Wilaya Kibondo ( Kwa mkoa wa Kigoma)
  • Serikali za Vijiji/Kata
  • KIYADO


TAARIFA ZA MRADI WA KUIMARISHA UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI:

Mradi huu umebuniwa kwa dhamira ya kuwawezesha wananchi katika wilaya ya Kibondo kushiriki katika uandaaji wa mpango wa maendeleo , bajeti na namna  ya kukuza uwajibikaji makini wa watendaji na wafanya maamuzi juu ya mgawanyo, usambazaji na matumizi  ya rasilimali za umma wilayani Kibondo.qIli kuweza kuyafikia malengo ya mradi shughuli zitakazotekelezwa ni pamoja naØKuendesha mafunzo  kwa Viongozi wa serikali za Vijiji, Kata, Madiwani 26  pamoja na watendaji wa Halmashauri  ya Wilaya  kutoka kata 4 za wilaya ya Kibondo juu ya utayarishaji wa mipango shirikishi.Ø Kuendesha mafunzo ya   kwa  walaghabishi (Community Animators)  kutoka kata za  Biturana,Kitahana, Rusohoko, na Busagara  katika  Wilaya ya Kibondo  juu ya uchambuzi wa bajeti ya maendeleo na ufuatiliaji wa miradi.   Shughuli nyingine ni kuwezesha wananchi kwa na uwezo wa kufuatilia    miradi ya maendeleo  katika sekta za elimu,afya,maji, miundombinu, uvuvi, ufugaji, ustawi wa jamii ,kilimo na  fedha za umma katika ngazi za kijamii  kutoka kata  za Biturana.

CHANGAMOTO ZINAZOLEGWA KUTATULIWA NA MRADI HUU

  • Mapitio ya  mwongozo wa vitabu vya utayarishaji wa mipango na tathimini ya Fursa na Vikwazo vya Maendeleo ( O&OD) vinaonyesha kuwa ushiriki wa wananchi ni suala la lazima katika utayarishaji wa Mipango na Bajeti ya maendeleo za H/ mashauri ya Wilaya ya Kibondo.
  •  Katika  tathimini ya mahitaji iliyofanywa  na ambayo ni sehemu ya utayarishaji wa andiko hili la mradi, imeonesha kuwa hakuna uelewa pamoja kati ya watendaji, viongozi wakuchanguliwa na wananchi,watendaji katika serikaliza mitaa mara nyingi huwalaumu viongozi wa kuchanguliwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao, wananchi kwa mara nyingi wanalaumu serikali za mitaa na serikali kuu ,viongozi wa kuchanguliwa mara nyingi wanalaumu wananchi ushirikishwaji wa wananchi katika ngazi za vijiji, kata na wilaya katika utayarishaji wa mipango, bajeti,na utekelezaji wa mipango na bajeti hizo bado ni wa kiwango cha chini katika wilaya ya Kibondo.
  • Kwa kutumia nadharia ya (zana ya kuanisha tatizo, visababishi na madhara) imeonesha kuwa tatizo hili linasababishwa na mwamko na uelewa mdogo wa wananchi kuona umuhimu wa wao kushiriki katika utayarishaji wa mipango na bajeti.
  • Uelewa mdogo wa wananchi kufuatilia kwa karibu zaidi kama vipaumbele vyao vya mahitaji ya maendeleo vimeingizwa katika mpango wa maendeleo, kutokuona umuhimu wa kufuatilia matumizi ya raslimali fedha zilizoanishwa katika bajeti ya utekelezji wa mpango wa maendelo wa kata, kijiji na wilaya.
  • uwajibikaji  mdogo kwa watendaji katika ngazi ya utekelezaji, Mashirika na  matumizi ya rasilimali fedha na rasilimali watu katika utekelezaji wa mipango na bajeti hizo.

MATARAJIO YA MRADI

Mradi huu utakapokamilika unatarajiwa:

  • Kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa mipango ya mendeleo ngazi za kijiji/kitongoji/mtaa kata na H/ mashauri ya Kibondo.
  • Kukuza ushiriki mpana wa wananchi katika mipango, utayarishaji bajeti utekelezaji wa mipango.
  • Kuwepo kwa uwazi zaidi juu ya mgawanyo, usambazji, matumizi na uwajibikaji uliomarika kwa watendaji na wafanya maamuzi juu ya  usimamizi na uratibu wa rasilimali za  umma ( katika muktadha huu fedha za kibajeti ngazi za chini- kijiji, kata na H/ mashauri, NGO  na mashirika mbalimbali yanatotekeleza miradi yake Wilayani Kibondo

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.