• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WARSHA YA NAMNA YA UAANDAJI MBEGU BORA ZA MUHOGO KIBONDO YA YAFANYIKA

Posted on: October 11th, 2018

Wilaya Kibondo leo tarehe 11.10.2018, kwenye Ukumbi wa Jumba la Maendeleo  maarufu kama (Community center),  kumefanyika Warsha ya Kuhuisha Mfumo wa Uzalishaji wa Mbegu za Mhugo, iliyo jumuisha Wadau wa MEDA, IITA, Madiwani wa Kata 19  wa Halmshauri ya Wilaya ya Kibondo, Wakulima, na baadhi wa Wakuu wa Idara na Vitengo.

Wakulima:

  • Nestory Mishita: aliyetayari kwa ajili ya uzalishaji mbegu kwa kilimo cha mbegu bora kwa kuanza na Eka 16, yeye ni Mkulima na Mfanyabiashara wa Kibondo mjini
  • Reginard Paulo: ni Mkulima toka Kata ya Murungu Kijiji cha Kumhasha, ambaye alishahudhuria Mafunzo ya Uzalishaji wa mbegu bora kati ya Watu sita waliopewa mafunzo yeye peke yake ndiye aliyefaulu kuendeleza elimu aliyoipata, na kwa sasa anazo Eka 4 ambazo zina mbegu ya Muhogo za Kisasa zilizotayali kuuzwa. Aliye tayali kwa upandaji kwa mwaka huu anaweza kumuona ili ajipatie mbegu bora.

Kikao hicho kilianza mnamo saa 04:40 asubuhi ambapo Bwana: Hamisi Amanje Kaimu Mkuu wa Idara ya Kilimo, alisimama na kukaribisha Wajumbe kwa uwepo wao, kisha kumkaribisha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, ambaye kwa nafasi yake alimkaribisha Mwenyekiti wa Halmashauri aliyejitambulisha nakutoa nafasi ya kutambulisha Wajumbe  kwa kila mmoja mmoja.

Baada ya huo utambulisho, Kaimu Mkuu wa Idara ya Kilimo alisimama kufafanua kile kilicho kuwa ndani ya kusudi la Warsha hiyo akiwaelezea Wajumbe kwamba Muhogo kiutangulizi ni:

Muhogo ni zao linaoongoza kwa kulimwa sana kwa nchi za ukanda wa jangwa la Sahara.

Zao la muhogo ni moja kati ya mazao ambayo hutumika kama zao la biashara na wakati huohuo ni zao la chakula.

 Wakulima wengi wamekuwa na uelewa finyu wa mbinu bora za kilimo katika kuzalisha mazao mengi ya muhogo.

Sambamba na hayo alizielezea changamoto zinazotokana na uzalishaji wa zao hilo la Muhogo kwamba ni:

Ukosefu wa mbegu  zenye  ukinzani wa magonjwa (Batobato+michirizi kahawia)

Kupanda na kushuka kwa bei ya muhogo.

Magonjwa na wadudu

Mitaji midogo kwa wakulima wengi. Ambayo ni pamoja na;

UKOSEFU WA MBEGU BORA

Uwiano wa uzalishaji wa mbegu za muhogo ni wa chini sana iikilinganishwa na mazao mengine kama nafaka

Mfano:Mbegu za muhogo: Uwiano  ni 1:10

Nafaka (Mahindi): Uwiano ni 1:300

Sababu: Uwiano mdogo, wakulima kutotunza mbegu baada ya kuvuna, magonjwa na wadudu husababisha uhaba wa mbegu wakati wa kupanda

Pamoja na hilo Bwana Hamisi Amanje aliwaeleza Wajumbe juu suala zima la kupanda na kushuka kwa bei ya zao hilo kwa mifano:

Muhogo kwa Kibondo hulimwa kama zao la biashara

Soko kuu likiwa ndani na nje ya Nchi(Dodoma +Burundi+Rwanda +South sudani

BEI
ENEO
MABAMBA


150
BUSUNZU
170







Baada ya takwimu hizo alieleza juu suala zima la Magonjwa  kwamba

Kuna magonjwa 2  na wadudu muhimu ambavyo hupunguza uzalishaji wa zao la muhogo.

Baada ya mafunzo hayo nafasi ilitolewa kwa Wajumbe kuliza maswali, na Wajumbe waliuliza maswali hasa Madiwani. Maswali yote yalijibiwa kwa ufasaha na ufanisi wa kulenga Uboreshaji na Kilimo cha Muhogo kwa kutumia mbegu bora.

Kikao hicho kilifungwa saa 7: 18 mchana na Mwenyekiti wa Halmashauri.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.