• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

Posted on: March 21st, 2025

Mkuu wa wilaya Kibondo Mhe: Kanali Aggrey J. Magwaza ameendelea na ziara za mikutano ya hadhara katika vijiji mbalimbali vya wilaya ya kibondo ili kusikiliza na kutollea ufafanuzi kero za wananchi wa wilaya hiyo.

Akiongea na wananchi katika moja ya ziara zake alizofanya tarehe 21.03.2025 katika vijiji vya Rugunga na kitahana center vilivyopo katika kata ya Kitahana Mhe: Aggrey amesema kila mwananchi ana haki ya kuelezea na kusikizwa kero anayokumbana nayo katika kijijini kwake ili kupatiwa majibu na kutatuliwa.

Hivyo wananchi kutoka katika vijiji hivyo wametoa kero mbalimbali zinazowakabili katika vijiji vyao na kupata nafasi ya kusikizwa Pamoja na kupatiwa ufafanuzi juu ya kero hizo.

Pamoja na kero baadhi ya Wananchi wameguswa na jitihada za serikali katika kutatua changamoto za Elimu ya awali na kuiomba iendelee na jitihada hizo ili kuhakikisha suala la elimu ya awali karibu na mazingira ya vijiji vyao linatatulika Kwani Kuna baadhi ya vijiji kama Rubanga Wanakosa shule ya Awali Karibu na Kijiji chao ikiwalazimu watoto wao kwenda umbali kidogo na Kijiji kufuata shule

Aidha Mhe: Mkuu wa Wilaya amewaambia kuwa tayari  Serikali imeandaa eneo lililotengwa kwa ajili ya Shule hiyo katika Kijiji cha Rugunga na Wananchi wameelekezwa kuanza mchakato huo Kwa kusafisha eneo hilo  wakishirikiana na uongozi wa Kijiji na wale waliokua wakifanya shughuli zao karibu na eneo hilo kuacha mara moja Kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi huo.

Vilevile Mkuu wa Wilaya alitoa maelekezo kwa viongozi kuendelea kutimiza wajibu wao ikiwemo kutatua baadhi ya kero  zinazoelekezwa moja kwa moja katika nafasi zao.

Katika ziara zake Mkuu wa Wilaya amekua akiongozana na viongozi mbalimbali wa wilaya wakiwemo wenyeviti wa vijiji husika,viongozi wa kata,wataalamu mbalimbali kutoka ofisi ya Mkurugenzi,maafisa usalama,viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA HALMASHAURI WAPEWA AGIZO LA KUHAMASISHA LISHE SHULENI

    May 16, 2025
  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.