Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi UNHCR limejenga na kukamilija vyumba vinne vya madarasa katika shule ya Msingi Maloregwa ambapo hafla ya makabidhiano yalifanyika leo tarehe 16/12/2022 shuleni hapo ambapo Kaimu katibu Tawala Mkoa wa Kigoma ndugu Jonas B.Joas aliweza kupokea madarsa hayo kwa niaba ya katibu tawala mkoa wa kigoma.Gharma za ujenzi wa madarasa haya ni T.sh 125,249,507.Mhe Diwaqni wa kata ya Rusohoko Katabizi alitoa shukrani wa shirika hilo kwa msaada huo.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.