• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA KIBONDO AKIFUNGUA KIKAO CHA CHF ILIYOBORESHWA

Posted on: September 4th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Kibondo akifungua kikao cha CHF iliyoboreshwa kilichojumuisha Wajumbe wa Bodi ya Afya Wilaya, na  wadau wa Bodi ya Afya waliotoka Mkoani, kilichofanyika tarehe 04.09.2018 katika Ukumbi Mdogo wa Vijana Kibondo. Baada ya Taarifa hiyo Mkuu huyo wa Wilaya aliwataka wajumbe kuwa makini katika kuelewa na kujadili vizuri changamoto zilizopo na kisha kuziwekea maazimio na namna ya kuyatekeleza vizuri kwa kuwaagiza wajumbe waliohudhuria kwenda kuhamasisha ipasavyo kuhusu zoezi hilo mhimu.


TAARIFA FUPI YA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF) 

JULAI 2017 –JUNI 2018

Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ni mpango wa hiari ulioanzishwa kwa sheria Na 1 ya mwaka 2001 (Sura 409 ya sheria za Tanzania Toleo la 2002) wa kaya au familia kuchangia gharama za matibabu kabla ya kuugua.

 Sababu za kuanzishwa kwa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ni kuiwezesha jamii kumiliki huduma za afya zinazowahusu katika maeneo wanayoishi, kushirikisha jamii kutoa mawazo yao ili kuboresha huduma za Afya, 

kuchangia kwa hiari na mali huduma za Afya katika ngazi ya Kijiji,Kata,Tarafa hadi Wilaya.

Lengo la mfuko huu ni kufikia  30% ya uchangiaji kwa kaya zote nchini.

Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012, Wilaya ya Kibondo ina kaya 52,265 na kaya zinazotakiwa kuchangia ni kaya 15,680 kwa mwaka ambazo ni asilimia 30 ya kaya zote. 

Pamoja na hayo Timu ya Wilaya imejipanga kutekeleza waraka mpya wa CHF iliyoboreshwa na mchakato wa ununuzi wa simu kwa ajili ya mchakato wa usajili na utoaji huduma za matibabu umeanza baada ya mfumo wa malipo (epica) kuanza,na pindi tu tutakapopata taarifa ya kuanza kazi kwa Account ya mkoa tutaanza kusajiri wanachama kwa kufata mwongoza mpya wa CHF iliyoboreshwa.

CHANGAMOTO

>> Wanajamii wengi hawajaelewa umuhimu wa kuchangi huduma kabla ya kuugua japo uhamasishaji ulishafanyika na unaendelea..

>> Baadhi ya wanajamii hawaoni umuhimu wa kuchangia kwa kisingizio kwamba watoto chini ya miaka mitano, wajawazito na wazee hutibiwa bure hivyo waliobaki hata wakiugua watalipa kwa kuwa gharama si kubwa.

MKAKATI

>> Idara kwa kuwatumia wataalamu waliopo inaendelea kutoa elimu na  kuhamasisha wanajamii juu ya umuhimu wa kuchangia Mfuko

>> Kuongeza idadi ya watoa huduma ili kuongeza ufanisi.

Kwa mwaka 2017/2018,jumla ya kaya 6,570 zilichangia sawa na 4%, ambapo jumla ya Tsh 65,700,000 zilipatikana kwa kuchangia Tsh 10,000 kwa kaya.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.