Halmashuri ya wilaya ya Kibondo imefanya mkutano mkubwa wa kuelimisha na kuhamasisha masuala ya uwekezaji katika eneo lake la bonde la Mto Lumpungu lenye ukubwa wa hekta 7218.Mkutano huo uliowaleta wadau mbalimbali takriban 230 walioshiriki uliongozwa na wawezeshaji toka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji wakiongozwa na Kaimu MKrugenzi Bw.Albinus Manumbu ambaye aliweza kueleza kuwa eneo hili linafaa kwa kilimo cha kibiashara hivyo wanashirikiana na Halmashauri kutafuta mwekezaji.Akiongea katika Mkutano huu mgeni rasmi wa mkutano huu ambae ni Mkuu wa wilaya ya kibondo Kanali Aggrey Magwaza aliwatoa washirki wa mkutano huo hofu kwa kuwaomba wawe watulivu wasubiri matunda yatakayopatikana kwenye mradi huo.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.