• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KUNAWA MIKONO NI KICHOCHEO CHA AFYA BORA

Posted on: October 20th, 2018

Sikukuu ya kunawa Mikono Duniani, ilifanyikia ndani ya Kambi ya Wakimbizi Nduta tarehe 20.10.2018. Mgeni rasmi akiwa ni Mwakilishi toka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibondo

Ndg. Janks Nimbuga, ambaye ni Afisa Mazingira Wilaya ya Kibondo toka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya.

Sherehe za kunawa Mikono Duniani Kambini hapo zilianza mnamo saa 11:12 asubuhi, kwa kupokea maandamano ya Vikundi vya Michezo vilivyokuwa vimeandaliwa.

Michezo ya maigizo yaliyokuwa yamebeba ujumbe wa Siku ya Kunawa Mikono kuwa ni chanzo cha Afya Bora, ilichezwa na kuigizwa.

Baada ya Michezo hiyo MC wa Sherehe hiyo aliomba kutambua Wawakilishi wa Toka Kila shirika linalotoa huduma hapo Kambini kufika mbele ya hadhira na kutoa ujumbe (hotuba fupi).

Shirika la DRC, MSF, UNHCR, Oxfam walitoa hotuba zao fupi zilizokuwazimebeba Ujumbe wa Afya inayotokana na kunawa Mikono.

Baada ya Hotuba hizo Mgeni rasmi alikaribishwa kwa kwaajiri ya kusoma Hotuba iliyokuwa na maana ya siku yenyewa.

Ndg: Wananchi, Siku ya Kunawa Mikono Duniani ni Siku Mahsusi iliyotengwa kwa ajili ya kuikumbusha Jamii juu ya suala la kunawa Mikono kama njia nafuu ya kujikinga na Maradhi/magonjwa.   Na;

 KAULI MBIU YA MWAKA HUU WA 2018 “Mikono Safi ni Kichocheo cha Afya Bora”

Uhusiano unawaji Mikono na Chakula: Chakula bora haitegemei aina ya chakula tu bali pia namna gani kinaandaliwa, kunawa Mikono kwa Maji Safi na Sabuni au Majivu ni muhimu kwaajili ya Kujikinga.

Uhusiano wa kunawa mikono na lishe bora. Upo uhusiano wa kunawa mikono na lishe bora. Kunawa mikono kwa maji safi na sabuni, ni sehemu  mhimu ya mkakati wa kuimalisha lishe bora. Magonjwa ya kuhara ambayo siyo tu huchangia vifo vya Watoto wadogo walio chini ya umri wa Miaka Mitano, bali pia hudhofisha uwezo wa miili yao kufyonza viini lishe vya chakula.

Nini kifanyike: 

  • Nawa Mikono yako kwa maji safi na sabuni au majivu katika nyakati mhimu, hasa kabla ya kula chakula, kabla ya kupika, na kabla ya kumlisha mtoto au mtu mwingine asiyeweza kula peke yake.
  • Uwe mfano bora wa kunawa mikono kwa jamii inayokuzunguka na uwakumbushe au kuwasaidia wengine wanawe mikono yao.
  • Tenga sehemu maalum kwa ajili ya kunawa Mikono, majumbani, mashuleni, sehemu za kazi nk
  • Shirikiana na Serikali  Wadau wengine kutoa mwongozo na msisitizo juu ya kuimarisha tabi ya unawaji mikono katika jamii.
  • Baada ya hotuba hiyo Mkuu wa Makazi ya Kambi ya Nduta Ndg: Peter Bulugu, mnamo saa 07:20 mchana, alisimama na kutoa msisitizo juu suala la unawaji mikono kwa Wananchi wa Kambi hiyo kwamba “ukishika ufunguo, mlango, fedha, hakikisha una nanawa mikono kwani hizo funguo na mlango si salaama. Nawatahadharisha pia wale wanaonunua vitumbua, mandazi na pombe hizi za kienyeji (migorigori) hizo si salaama achene”
  • Baada ya usia huo aliyafunga maazimisho hayo saa 07:32 mchana.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.