• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

NEEMA KWA WANANCHI WAHANGA WA WAKIMBIZI WILAYANI KIBONDO

Posted on: September 6th, 2018

Mkuu wa Mkoa Kigoma Mhe. Brigedia: Emanuel Maganga, amefanya kikao na Wananchi wa Wilaya Kibondo, walioathiriwa na ujio wa Wakimbizi kwa awamu ya pili katika Wilaya ya Kibondo kwenye  Ukumbi wa Vijana maarufu kama Jumba la Maendeleo leo tarehe 06.09.2018.

Kikao hicho kilihusisha Wananchi waliokuwa wakilima ndani ya kambi hiyo baada ya wakimbizi wa awamu ya kwanza kuondoka, pamoja na waliojikuta wamo ndani ya kambi hiyo baada ya upanuzi wa kambi. Hao ndio waliofanyiwa Tathimini ya mali zao zilizokuwemo katika maeneo hayo kwa jitihada za Serikali ili wapewe fidia.

Akizungumza na Wananchi hao Mkuu wa Mkoa Kigoma, alisema " Tulifanya jitihada kubwa ili kupata namna ya Wananchi wetu fidia  ya mali zao zilizoathiriwa kutokana na Ujio wa Wakimbizi katika Wilaya ya Kibondo ndani ya Kambi ya Nduta, jitihada hizo nilifanya mimi kwa kushirikiana na Uongozi wa Wilaya ya Kibondo na Wizara husika, ili kupata mtu anayeweza kulipa gharama hizo zilizotokana na tathmini ya mali za wananchi hao. kwa bahati nzuri shirika la Kimataifa la wakimbizi la UNHCR lilikubali kulipa fidia hiyo kwa sharti hili; Watamlipa mhusika mwenyewe mwenye mali, moja kwa moja na hela haitapitia kwenye akaunti ya Serikali wala Shirika linginelo, pili Mhusika lazima awe na Akaunti hai ya Benki yoyote kati ya  CRDB au NMB. ambapo wananchi walifurahia jambo hilo na Mkuu wa mkoa akawaambia kwamba, tathimini iliyofanyika ilikuwa ya Shilingi Bilioni 1.5, lakini Fehda iliyokubalika kulipwa na UNHCR ni takribani ya Shilingi Milion 600 , sawa na nusu ya tathimini ya fedha iliyothaminiwa awali. Pamoja na hayo, UNHCR  haitakuwa imelipa  Fidia bali Kifuta Jasho kwa wahanga. 

Nita weka utaratibu mzuri wa kuthibitisha kila mtu na akaunti yake ili kuepuka  utapeli wa kufungua akaunti ya mtu asiyehusika, zoezi hilo litakuwa na kutengeneza jedwali litakalo onesha Jila la mhusika, picha, akaunti namba, na sahihi yake, ambavyo vitakuwa vimehakikiwa kwamba huyu ndiye mhusika wa akaunti na ni Mhanga wa tukio alisema Mkuu wa Mkoa"

Malipo hayo yatakuwa tayali mara baada ya zoezi hilo la akaunti kufunguliwa kwa usimamizi mzuri. kama hakuna akaunti malipo hayatafanikiwa alisema Mkuu wa Mkoa, Kisha aliruhusu maswali kwa Wananchi hao na  akayajibu yote, Wananchi wakaridhia, kisha kikao kikafungwa.



Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.