Kaimu Katibu Tawala wilaya ya kibondo Bi Marusu amewahiza wananchi wilayani Kibondo k.utunza miradi mbalimbali inyojengwa na serikali kwa fedha nyingi.Aliyasema hayo katika maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru wa Tanganyika yaliyofanyika wilyani Kibondo katika Kata ya Kumsenga jana tarehe 8/12/2022.Alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mafanikio ngazi ya wilaya aliweza kutaja miradi baadhi iljengwa na serikali ikwepo ya Afya,Elimu,Maji,Miundombinu ya barabara na mawsiliano nk
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.