• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

Posted on: March 15th, 2025

Mkuu wa Wilaya Kibondo Mhe: Kanali Aggrey J. Magwaza amezindua Kampeni ya Ugawaji Vyandarua kwa Wilaya ya Kibondo katika kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mkuu wa Wilaya Kibondo tarehe 15.03.2025.

Akifungua kikao hicho Mhe: Aggrey J. Magwaza ameishukuru Serikali kwa kuendelea na jitihada za upambanaji wa kudhibiti Ugonjwa wa Malaria katika ngazi za Mikoa na Wilaya, amesema katika Mikoa ambayo Imeathirika na Ugonjwa wa Malaria Kigoma iko miongoni mwao na Wilaya ya Kibondo ikiwa na asilimia 31.1% kwa takwimu za Mwaka 2024 kutoka 51.7% Mwaka 2016 hivyo Serikali inaendelea kupambana na kuhakikisha Ugonjwa wa Malaria unatokomea kabisa ifikapo 2030.

Aidha amesema katika Wilaya ya Kibondo Vyandarua 207,717 vyenye dawa ikingayo Malaria vitagaiwa katika kaya zote 19 bila malipo.

Vilevile amewaomba Viongozi Wahamasishe upokeaji wa Vyandarua hivyo na kuwaondolea wananchi hofu juu ya Imani potofu katika dawa ipatikanayo kwenye vyandarua hivyo kwani kugawa Vyandarua hivyo ni moja ya afua ya kutokomeza Malaria nchini. ameendelea kuwakumbusha  kuelimisha jamii juu ya kinga zingine kama kutokomeza vichaka na kusafisha sehemu zenye mtuamo wa maji karibu na makazi.

Pamoja na hayo Mhe Magwaza amewasihi Viongozi kuwahimiza Wananchi pindi wapatiwapo vyandarua hivyo kuacha kuvitumia kwa matumizi mengine tofauti na ukingaji wa Malaria.

Nae Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndugu: Stephen J. Nimbuga ameahidi kuhakikisha zoezi la Ugawaji wa Vyandarua bila malipo kwa kaya litafanikiwa na hatau za kinidhamu zitachukuliwa kwa watumishi na watendaji watakao hujuu zoezi hilo.

Wajumbe walioudhuria kikao hicho ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya,wawakilishi kutoka wizara ya afya na tamisemi Mkoa, kamati ya Usalama,wataalam wa Halmashauri na viongozi wa Dini.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI MSAIDI WA KUMBUKUMBU June 27, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA KIGOMA AWASISITIZA WATUMISHI WA KIBONDO KUWEKA MKAZO KWENYE UWEKEZAJI

    July 10, 2025
  • MKUU WA WILAYA KIBONDO AWAPONGEZA NA KUWAAGA WAHE. MADIWANI

    June 20, 2025
  • WAZAZI KUHIMIZWA KUTETEA NA KULINDA MASLAHI MAPANA YA MTOTO

    June 19, 2025
  • MAZINGIRA YETU AFYA YETU

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.