Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kibondo Mhe Habil Maseke ameshiriki kwa vitendo katika uzinduzi wa kampeni ya unawaji mikono iliyozinduliwa leo tarehe 16/2/2023 katika kata ya Nyaruyoba wilayani hapa kwa lengo la kuimarisha afya za wananchi ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko kama vile kuhara pamoja na kipindupindu.Akishiriki zoezi hilo Mwenyekiti amewasihi wananchi kuzingatia suala la unawaji mikono kwa faida za afya zao.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.