Kamisaa wa Sensa Mhe Anne Makinda ameiagiza kamati ya sensa ya wilaya ya Kbondo kutoa elimu na hamasa kwa wananchi wa wilaya ya Kibondo juu ya umuhimu wa zoezi hilo linalotarajiwa kufanyika nchi nzima tarehe 23 mwezi agosti 2022.Amesema ni lazima viongozi muwatembelee wananchi katika maeneo ya ili muweze kuwapa taarifa hizi kikamilifu.ameyasema hayo alipozungumza na kamati wilayani hapa june 16 2022.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.