• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ITENDEENI HAKI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

Posted on: December 10th, 2017

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya kibondo Bw. Juma Mnwele amekuwa mstali wa mbele katika kuahakikisha rasrimali zilizoko katika halmashauri wilaya ya Kibondo zinagawanywa kwa haki nakutumika  kwa usawa bila ubaguzi wa aina yoyote ili kuwanufaisha wananchi wote . Aliyasema hayo siku ya tarehe 26.11.2017 katika sherehe za kupinga ukatiri dhidi ya wanawake na watoto ziliyofanyika kimkoa (w) ya Kibondo. Katika sherehe hizo Mkurugenzi Mnwele ndiye aliyekuwa kiongozi mwenyeji akisaidiana na Bwana Moshi ambaye ni (Das) kibondo.Huku mgeni rasmi akiwa mkuu wa mkoa wa Kigoma  Ndg Maganga.

 Kwa mujibu washeria za Ardhi za Tanzania Mkurugenzi mtendaji anakua ndiyemwenye dhamana  ya kusimamia ardhi yote ya Halmashauri husika.Pia fedha zote za maendeleo  zinazoletwa na Serikali  kuu pia na zile zinazokusanywa  kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani zinakuwa chini ya usimamizi wa mkurugenzi Mtendaji .Je? Katika suala la kupiga vita sua masuala ya ugandamizzji wakijinsia pia watoto Bwana Mnwele anazungumziwaje na jamii.kiuhalisia Mnwele amekuwa mstali wa mbele kutetea haki za wanyonge bila kujali jinsia zao. Hali ambayo imemleta kuwa karibu na jamii ya wanachi wa Kibondo.

Katika sherehe za kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto zilizofanyika Wilayani kwake,sherehe ambazo  zilizo hutubiwa na mkuu wa Mkoa  wa kigoma  Mh. Emanueli Maganga ambaye alikua mgeni rasmi  alitumia muda karibu wote wa hutuba yake kulaani vitendo hivyo viovu ambavyo kwa maneno yake mwenyewe amesema vinarudisha nyuma ustawi wajamii.  Maneno hayo    yalimuibua bwana Mnwele  kuwa ana hakikishia wananchi kwamba atakua mstari wa mbele kuhakikisha vitendo hivyo vinatomkomezwa wilayani kwake.

Suala la unyanyasajina na ugandamizaji limetoka mbali na wakati wote binadamu wenye mapenzi mema na taifa lao hawakukata tamaa kupambana na unyama huo. Tatizo kubwa linalo wakabili wapambanaji wanao jitokeza kupinga ugandamizaji huwa , watu kama hao huwa jamii wanayoitumikai au kuiongoza mara nyingi wanachelewa sana kuwaelewa malengo ya viongozi wao

Mathalani katika kesi iliyotokea nchini marekani tarehe 13. August 1880. Kesi hiyo ilimuhusisha mtoto wa kiume kumuua baba yake mzazi ili arithi mali. Mshitakiwa alikuwa bwana. Palmer kesi no 115 kumb no 506 1889. Chanzo cha mauaji kama kilivyoelezwa Mahakmani Baba wa mtuhumiwa  alimugawia urithi  (shamba) mwanae. NAkumuandikia wosia huku akiwa bado kufariki’

  kipande kidogo cha shamba kilichobaki  alimpa mkewe ambaye ni  mama wa Parmer . Maelezo aliyotoa kama wosia mbele ya mashuhuda,   yalikuwa hivi, mwanangu nimekupa kipande kikubwa cha shamba na kipande  kilichobaki ni cha mama yako nimekupa aridhi hiii kwa moyowamngu wote na kwa hiari yangu nikifa au nikizeeka  itakuwa mikononi mwako. Lakini kabla sijafa au kuzeeka na kuishiwa nguvu tafadhali usiliguse shamba hili ambalo nimekukabidhi leo mbele za watu. Mtuhumiwa alifurahi ilipofika usiku alimuhadithia mkewe kwamba amepewa mali na Baba yake,  mke wake alimshairi hivi, mume wangu unajuaje kati yako na baba yako atakayetangulia kufa ni nani? jibu lililotoka kwa mumewe lilisema hivi sijui . Mkewe alimueleza mume wake  sasa  ni busara tumuue baba yako ili Ardhi hiyo iwe mikononi mwetu mapema.   Adhabu yako utakayo pewa  ni kifungo cha muda kidogo harafu utatoka  na maisha yetu yatakua mazuri kuliko haya tuliyo nayo.  Mume alikubaliana na wazo la mke wake.

Asubuhi yake PARMER ambaye ni mtoto aliamka kwenda kumsalimia baba yake na kutoa shukrani kwa kupata urithi wake akiwa bado kijana.Baba yake bila kujua kwamba  huo ni mtego ambao ametegewa na mwanae aliamka na kwenda kusalimiana na mwanae.Ile kumshika mkono  wasalimie mwanae alimpiga risasi Baba yake na Baba alikufa palepale  (baba akawa marehemu) Mtoto baada ya kumaliza kumuua Baba  yake alirudi kwa mkewe Milika  huku akiwa na furaha kwakuteleza  matakwa yay a mkewe nakumuarifu kwamba kazi waliyokubaliana amemaliza, Mahakamani mtuhumiwa alitoa utetezi na vielelezo kwamba hakimu nifunge ili nimalize kifungo mapema. Muheshimiwa Hakimu kwa moyo wangu wote Nimeamua kumua  Baba Yangu  kwasababu moja kubwa ,kama nitakavyo ieleza hapa mahakamani.Muheshimiwa Hakimu Babayangu Alishanikabidhi urithi( Ardhi) Muheshimiwa Hakimu sharti alilo nipa Baba la kuipta  ARDHI hiyo hadi kufika mikononi mwangu lilikua gumu Sharti lilisema ili ardhi niipate ningoje hadi afe Je?nilikua na uhakika gani kwamba kati ya mimi na yeye ninani angetangulia kufa? Hivyo nimeamua kumuua Baba yangu  ili nikaendeleze  aridhi  yangu .Hapo dipo judge Ronald Dworkin aliyekua akisiliza shauri alitoa hukum kwamba (no people can benefit from his own wrog).Bila shaka Judge Dworkin alikua( pure Realism.) Ikiwa na maana kwamba hakuna binadamu anayeweza kuruhusiwa hata kidogo kunufaika kwa makosa yake mwenyewe. Kwa hiyo na Kuhukumu kwenda jela kwa mujibu wa sheria  na ukirudi huruhusiwi kurithi mali yoyote uliyoachwa na marehemu. Hukumu hiyo ya Judge Dowrkin imekuwa msaada mkubwa kwa wazazi wanaowarithisha watoto wao mali wasimame hivi leo.Hicho nikisa kimoja wapo chenye elements za ugandamiziji dhidi ya ubinadamu.

Je? ulijua kwamba vita nyingi duniani zinazosababisha  watu kuuawa na kukimbia Nchi zao migogoro ya Ardhi? Ni vizuri ufahamu kwamba watu wanaongezeka kwa kasi ya ajbu duniani hii intokana na kuzaliana bila mpango stahiki.  Bila kufuata uzazi wa mpango wakati watu wanazaliana oovyo ardhi inbakia ileile .Hiki ndicho chanzo cha vita katika nchi za Burundi Rwanda  na hapa kwetu  migogoro ya wafugaji na wakulima. .

Je? Ulijua kwamba kijiji chochote au aridhi yoyote ikisha tangazwa kuwa ni MJI hakuna mtu anayeweza kudai kishera  mahakamani kwamba anashamba mjini. Kwamba anamiugo mjini ?Hapo ndipo Mnwele kupitia wataalamu wake wa masuala ya ardhi amekuwa akisisitiza watu wafuate utaratibu uliowekwa kisheria kwenda kupima ardhi zao. Kwani mmiliki  yeyote wa shamba, ardhi na mimea ya kudumu  kama migomba miti kimila  aspoenda kupimisha mashamba yake  sheria inaeleza kwamba. mwenye kipan serikali inawezaa kuchukua ardhi hiyo bila fidia.

Je? Ulijua kwamba ukimuazima mtu shamaba alime au ajenge unatakiwa ndani ya miaka kumi na moja umunyanganye? Tambua kwamba sheria za ardhi inaeleza kwamba ikishatimia miaka kumi na mbili kabla hujamnyanganya ardhi ile itageuka kuwa mali yake kisheria.

Je? Ilitambua sheria za ardhi za Tanzania zinaeleza kwamba ziko njia nne za kukuwezesha kupata ardhi? Tambua kwamba ziko njia nne za kupata ardhi nazo ni kununua, kupewa, kusafisha poli ambalo halimilikiwi na yeyote na mwisho ni njia ya kurithi kama ilivyokuwa imetokea kwa bwana Palmer ambaye aliamua kumuua baba yake kasha mahakama ikampiga chini. Lakini pia huenda ungetaka kujua ardhi ni nini kisheria ardhi ni udongo ulioko juu ya uso wa dunia mazao kama migomba, mihogo, mikaratusi na vitu vyote vinavyopatikana kwenye eneo la udongo wa juu ikiwa ni pamoja na majengo. Pia vitu vyote vilivyokochini ya ardhi kama mchanga mawe na madini kama dhahabu, shaba,nikel, uranium nk hivyo sio ardhi. Tafsiri hii ni kwa mujibu wa sheria ya ardhi na. 4/ 1999 na 5/1999  za Tanzania.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo Bwana Mnwele amekuwa akitamani kila mwananchi wa Kibondo atambue umuhmu wa kumiliki ardhi  na Kupinga  mfumo dume au gandamizi kwa wananchi wote wa Kibondo ikiwa ni pamoja na Tanzania yote. Huku akieleza kwamba hali hiyo ikifikiwa, suala la kufuta umaskini, ujinga na maradhi litakuwa limefanikiwa kwa asilimia zote. Halmashauri ya wilaya ya Kibondo inayo ongozwa na Bwana Mnwele inajumla ya kata tisa ambazo ni Bitare, Bunyambo, Busagara,Kizazi,Kumsenga, Misezero, Murungu na Rugonwe. Kwa kuwa utamaduni wa kusmamia mfumo gandamizi yaani mfumo dume ulitamalaki sana katika mkoa wa kagera na Kigoma nadhani kwa wale ambao bado wanauendeleza ni vizuri watambue kwamba  Judge Mwalusanya alishauharamisha. Kupitia kesi ya BERNADO EPHRAIM NA HORALIA PASTORY, GERVAZ KAZIRENGE.

Kabla ya Hukumu hii Huko BAukoba na Kigoma mwanamke hakuruhusiwa kurithi ardhi. Judge Mwalusanya alizingatia ibara ya 24(1) na (2) ya katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara hiyo inaeleza kwamba kila mtu anayo haki ya kumiliki mali. Na kupata ulinzi wa kisheria  kuhusu mali anayomiliki. Ibara ya 13 (1) na (2) ya katiba ya Tanzania ya 1977 inaeleza kwamba watu wote wana haki ya sawa mbele ya sheria. Mwalusanya litoa hukumu hiyo kwa kuzingatia Ibara hizo za katiba. Na kuanzia hukumu hiyo suala la mfumo dume hapa Tanzania ulipata jeraha kali.

Bwana Mnwele anashangaa baadhi ya watu kufikili kwamba wao ni bora kuliko wengine. Jamani hivi kila mtu akiaminikwamba hakuna aliyebora kuliko mwenzake na kutumia raslimali za umma kwa manufaa yetu sote bila kujali dini rangi kabila wala jinsia huu mfumo dume hamuoni kwamba tutaufuta hapa kwetu Kibondo?

Makala hii imeandikwa na Afisa habari II wa Halmashauri ya wilaya ya KIbondo ambaye kitaaluma ni mwanahabari na msomi wa sheria chuo kikuu (OUT) cha Tanzania.

Vyanzo vya habari hii ni:-

  • Hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma aliyoitoa tarehe 26/11/2017 Ya kupinga vitendo vya ukandamizaji  dhidi ya wanawake na watoto.
  • Katiba ya Jamhuri ya kudumu ya 1977.
  • Case law mamuzi ya mahakama kuu
  • Sheria za ardhi za jamhuri ya muungano wa Tanzania na. 5/ 1997 na 4/1999.
  • Nasaha ulizotolewa na mkurugenzi Mtendaji bwana Juma Mnwele kwenye kikao cha FUM Fedha uchumi na Mipango kilichofanyika tarehe 24/11/2017 katika ukumbi wa jingo la Halmashauri ya wilaya za kibondo IOM.
  • INVITED CASE

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.