Tuesday 6th, June 2023
@Shule ya Msingi Nengo
Wanachama wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Yanga Wilayani Kibondo wametembelea Shule ya Msingi ya Mahitaji Maalum Nengo kwa ajili ya kutoa misaada. Misaada hiyo imetolewa leo tarehe 27/08/2021 katika kuazimisha wiki ya Timu ya Wananchi.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.