Friday 29th, September 2023
@Nyaruyoba
Sikukuu ya Wanawake Dunianiani itaazimishwa tarehe 08.03.2018 Duniani kote. Na kwa Wilaya ya Kibondo itaazimishwa katika Kata ya Nyaruyoba Kijiji cha Nyaruyoba Ki-wilaya kuanzia saa 10:00Am hadi 10:00 Pm. wananchi wote wanawake kwa wanaume mnakaribishwa katika siku ya wanawake Duniani.
KAULI MBIU: "Kuelekea Uchumi wa Viwanda Tuimarishe Usawa wa Jinsia na Uwezeshajii wa Wanawake Vijijini"
Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.