Ujenzi wa Jengo la kiwanda cha kuchakata mazao ya nyuki wilayani kibondo inakaribia kukamilika kwani kwa sasa ujenzi umefikia hatua za upauzi.Gharama za ujenzi wa mradi huu ni zaidi ya fedha za kitanzania T.SH 540 milioni ambapo utakapokamilika utakuza kipato kwa wafugaji wa nyuki katika wilaya ya kibondo. Ujenzi wa mradi huu unagharimiwa na fedha za serikali .
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.