Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo Ndg Rutema D.M akiwa na Viongozi wa chama cha Mapinduzi,watendaji wa kata ya Kibondo,Viongozi wa Dini,wazee maarufu,wataalam toka ofisi ya ardhi na kamati ya watu wanaoshi karibu na uwanja wa michezo kibondo mjini wote kwa pamoja wametembelea eneo la uwanja huo na kubainisha mipaka ya uwanja huo kwa manufaa ya wananchi wa kibondo. Washiriki katika zoezi hilo walitoa maelezo ya historia ya eneo hilo na kushiriki katika kubainisha mipaka hiyo ambayo wazee hao wamemshukuru Mkurugenzi Mtendaji kwa kubainisha mipaka hiyo.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.