• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WATENDAJI WA KATA KUMI NA TISA ZA KIBONDO WAPEWA SEMINA YA UTAWALA BORA

Posted on: May 28th, 2018

UTAWALA   BORA  UKIZINGATIWA   UCHUMI UTAKUWA  HARAKA KIBONDO.

Hayo yamesemwa  na Mkurungenzi  Mtendaji wa Halmashauri  ya wilaya ya kibondo Ndugu Juma Mnwelle  wakati wa  kikao kilicho  wakutanisha   watendaji  wa kata zote zinazo unda Halmashauri  ya  wilaya ya kibondo pamoja na madiwani wao tarehe  22.5.2018 katika  ukumbi wa jumba la mikutano la Halmashauri ya wilaya ya kibondo kwa jina maarufu  jumba lamaendeleo  kibondo.

Hayati  Baba  wa taifa mwalimu  Julius kambarage  Nyerere wakati  wa uongozi wake alitumia muda mwingi kusisitiza umuhimu wa haki, usawa, uwajibikaji, utawala  bora ,na kupiga vita rushwa katika  jamii  na ubadhilifu wa  mali za umma.(Gazeti  la  Mwananchi vlmughwa@gmail.com.) 

Mnwelle  akionyesha  sura ya kutokua na masihala kwa  wa temdaji  wote  wanao kwepa  kuitisha  mikutano  katika  maeneo yao ya kazi,  ambayo  imewekwa kwa mujibu wa sheria kwamba atawajibishwa .  Mnwelle  ameyasema na kurudia   tena   Jamani ndugu zanguni katika hili tusilaumiane   mendaji atakaye kwepa wajibu huo wa kuitisha mikutano ili iliyowekwa na sheria nitamwajibisha,   atawajibika bila  kuonewa huruma . Mnwelle  Ametaka kila   Diwani kumletea taarifa sahihi za kila  mtendaji anakaye kataa kuitisha mikutano  kwa  sababu za kizembe ili amchukulie hatua za kisheria. Nahasa mikutano ya  kuwasomea wananchi mapato na matumizi. .

 Juma  Mnwelle  amewaelimisha viongozi hao wajuu wa  ngazi zaza kata , ambao  ni  madiwani na watendaji  wao kata.Maana ya utawala  bora  . Kwamba, suala  la  utawala bora   linaanzia  ngazi mbali mbali katika jamii. Kuanzia chini kabisa, katika familia mpaka ngazi  ya juu ya utawala.Mnweele  amesisitiza  kwamba, maendeleo  ya wananchi  wa kibondo  hayawezi kuja  kupatikana  kama walio  na  madaraka watafikili kwamba wanahaki  ya kuwaendesha wengine kadiri  wanavyotaka huku wakikataa kufuata  utaratibu uliowekwa  nasheria.Ndugu zangu viongozi  wenzangu.  Nawahakikishieni kuanzia  sasa  tutakuwa  wakali ,  kwakila mtendaji  atakaye  kwepa kuteleza  jukumu  lake hasa  hili la kuitisha  mikutano ambayo  imewekwa  na sheria  alimalizia  Mkurugenzi  Juma Mnwelle huku  madiwani  wakionyesha nyuso  za furaha kwa matamko yake hayo   yaliyo  kuwa  na lengo la kuwarudishia uhai wa kujiamini wanapo waangiza  wa tendaji wao wakata.

Suala  la ukosefu  wa uitishwaji mikutano liliibuliwa na madiwani  wa kati wa  kikao hicho, huku wakimtaka Mkurugenzi mtendaji  alitolee ufafanuzi suala  hilo la wa tendaji  kukwepa kuitisha mikutano  hasa   ile ya kuwasomea wananchi  mapato na matumizi  huku madiwani  hao wakionyesha  wasiwasi  juu ya  suala hilo  la  watendaji  kukwepa  kuitisha  mikutano ambayo ni haki ya wananchi.Kwa pamoja  madiwani  walimpigia  makofi  Bwana Mnwelle na kumtaka aendelee  kuwa  na msimamo  wa dhati  anapo shughurikia  nidhamu  za watendaji waliochini yake .

Suala  jingine  lililo  fikishwa  kwa Mkurugenzi  mnwelle  na  madiwani  hao  kama ombi ni hitaji lakumtaka awpatie mafunzo  ya utawala  bora watendaji wote  wa vijiji vyote  vinavyo  unda Halmashauri  ya wilaya  ya kibondo.Watendaji  wa vijiji  ,watendaji  wakata na kamati  za mzingira zinawajibu  wa  kurinda  vyanzo  maji katika  maeneo yao,ilikufikia  hayo mikutano ndio  njia pekee  ya kufikisha  ujumbe  kwa wananchi  haraka.    

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.