Ujenzi wa miundombinu ya madarasa katika shule za msingi wilayani Kibondo imepunguza msongamano wa wanafunzi katika baadhi ya shule.Akitoa ufaanuzi katika ziara ya kutembelea shule za msingi Afisa elimu wilaya ya Kibondo Bi. Oliver Mgeni amesema msongamano wa wanafunzi wetu umepungua sana kutokana na serikali kujenga madarasa na shule mpya nyingi za msingi zimeweza pia kufunguliwa ikiwepo shule za Nyaruhaza pamoja na mapinduzi.Tunaishukuru sana serikali ya awamu ya sita kwa kuweza kutatua changamoto hii.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.