• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TASAF KUWAONDOA KWENYE UMASIKINI WANANCHI WAKIBONDO

Posted on: May 21st, 2018

TASAF KUWAONDOA KWENYE UMASKINI WANANCHI WA KIBONDO. 

Mfuko  wa maendeleo ya jamii  TASAF  nitaasisi ambayo tangu mwaka 1998 imekua ikindesha miradi mbalimbali kwa lengo la kupambana na umasikini Nchini .Hivi karibuni TASAF ilikamilisha awamu yake ya kwanza na   ya pili huku ikielezwa  na   Henry Mbango ambaye ni Afisa masijala ya walengwa kutoka  TASAF Makao makuu,kwamba, katika wilaya ya kibondo idadi ya watu wanaoishi  katika dimbwi  laumasikini uliokithili ni 9707  wanaopatikana katika vijiji 40 vinavyounda wilaya ya kibondo .

Amesema  hayo  Kiongozi   anayefanya kazi za  TASAF Makao makuu jijijni D,salaam  Bwana Henry   walipo  kua  akiendesha  semina siku moja iliyokua na la  kuwajengea uelewa wakuu wote  wa idara na vitemgo  ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Kibondo. semina hiyo  ilifanyika 08.05.2018  katika jengo  la maendeleo ya Halmashauri ya wilaya ya kibondo    Mkoani kigoma .    suala  kubwa  lililosisitiziwa  na kiongozi huyo kutoka ngazi za juu   lilieleza kwamba, awamu ya tatu . TASAF imeamua kujikita kuondoa  gap kubwa la kipato    baina  ya matajili na masikini Ndugu zangu naomba mnielewe ,  walengwa  hawa wapatao 9707 tukifanikiwa  kuwakwamua katika janga hilo laumasikini   tafsri yake  nikwamba, watoto wao watakwenda  shule, na wakihitmu  masomo  yao watakua wamejikomboa sio kifikra tu bali hata  hata kiuchumi  , watafuga  kuku kisasa, ,watalima kisasa,watavua samaki  kisasa,watafanya biashara  kisasa  shabaha hiyo ikifikiwa  tutakua tumewakomboa kiuchumi.  Alisema Bwana Henry.

            Suala  jingine  lililosisitizwa   katika semina hiyo  ilielezwa kwamba ,TASAF  ipo  kwa ajili ya waliokwama zaidi kiuchumi bila kujali umri wao  . 

            

            Awali  akifungua semina hiyo  mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri  ya wilaya ya kibondo. Bwana  Juma  Mnwelle  amewataka wakuu wote na vitengo 3  vinayvounda  Halmashauri ya wilaya ya kibondo kuhakikisha   wanafahamu vyema,   shughuri  zote  zinazotekelezwa  na  TASAF kndani ya Halmashauri yao.  Zaidi  ya hapo Mnwelle amewataka wakuu hao wavitengo  na idara wajitambue kwamba wao ni   wao ni wa wadau wakuu wa TASAF . Miongoni mwa mafanikio yaliyofikiwa   na TASAF hapa kibondo ni ujenzi wa visima vya  maji ,ufankikshaji wa biashara  ndogo ndogo,ufugaji  wa kuku mbuzi  naujenzi  wa madarasa na upandaji wa miti  aliamlizia Mnwelle .Huku akimhakikishia kiongozi huyo  kutoka makao kuwa  kila shilingi itakayoingia  ya TASAF itatumika kwa malengo yaliyokusudiwa.  

              

            

 

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.