• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO IMEWAGAWIA MAAFISA UGANI WA KATA TANO PIKIPIKI AINA YA HONDA TUFF 125CC KWA AJIRI YA KUBORESHA SEKTA YA KILIMO

Posted on: January 16th, 2018

Mafisa Ugani wamepewa maelekezo ya namna ya matumizi bora ya pikipiki hizo ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kibondo. Na anayeonekana akiendesha pikipiki ni Mkuu wa Idara ya Kilimo Ndg Shemahonge akizijaribu, na Kaimu Mkurugenzi mbele yao akiwaambia waziwashe Ndg: Seif, mbele yao.

Kata zilizopata mgao wa pikipiki hizo kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wa kuboresha mazao ya Maharage na Mahindini.

  • Kata ya Murungu
  • Kata ya Kibondo mjini
  • Kata ya Rugongwe
  • Kata ya Busunzu ns 
  • Kata ya Misezero

Kaimu Mkurugenzi pamoja na Mkuu wa Idara ya Kilimo Ndg: Shemahonge wamesisitiza Maafisa Ugani hao kwamba, Wanatakiwa kuwa makini na matumizi bora ya pikipiki hizo kwani ni mpya na; ni bora. Akisema ubora huo Fundi Mkuu wa Magari na PikiPiki hizo Ndg: Thobias Kilunga, amesema zina uwezo wa kumia Lita moja ya Petrol kwa kilometa 60. 

"Ondoeni mazoea yaliyokuwepo kwa baadhi ya Maafisa ya kutumia mali za Serikali kama mali zao binafsi, badala ya kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa na  Serikali badala yake zinaenda kufanya kazi za kubeba mizigo yenu mashambani na kuazimwa ovyo ovyo. Serikali ya sasa na haiko hivyo ya awamu ya tano, nitachukua hatua sitahiki kwa kuwaajibisha kila mmoja atakayeonekana akifanya kitu kama hicho. Nawaonya pia hata wale wenye tabia kunywa pombe wanaoweza kwenda kunywa pombe na pikipiki hizo, ikitokea ukaonekana lazima uwajibishwa sambamba na atakayeibia pikipiki hiyo akiwa mazingira hayo. alisema Mkuu wa Kilimo na Mifugo ".


Fundi Mkuu aliwaonya pia kutotumia pikipiki hizo hadi kuzidisha kilometa zilizopangwa bila kufanya sevisi, na kwamba zisitumike kama boda boda.

Baada ya Maekezo hayo yaliyofanyika Ofisi ya  Mkurugenzi. Mkurugenzi na Mkuu wa Idara ya Kilimo na Mifugo walitoa Pikipiki hizo kwa Maafisa Ugani.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.