• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA RAIS TAMISEMI AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI

Posted on: October 3rd, 2018

Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi Bi: Zainab Chaula, akiwa katika ziara yake Wilayani Kibondo tarafa ya Mabamba kwenye Kituo cha Afya Mabamba tarehe 03.10.2018, amesisitiza katika uhamasishaji kwa Wananchi juu ya uelewa kuhusu uchangiaji katika huduma za afya, ikiwa ni pamoja na utoaji wa huduma bora kwa Wananchi, na uwepo wa Mifumo ya taarifa na ukusanyaji wa Mapato (GoT-HOMIS) kwenye Vituo vyote vya Afya, bila kusahau uwajibikaji kwa watumishi wa Sekta ya Afya.

Aidha ameagiza mifumo hiyo ifungwe mara moja katika Kituo hicho cha Afya Mabamba, ili huduma itolewe kwa njia ya mfumo na watumishi wa afya watimize wajibu wao kuhamasisha wananchi katika suala zima la uchangiaji huduma za afya.

“Hatutaruhusu kuanzishwa vituo  vipya (maboma) kabla ya kuboresha vilivyopo, ili wananchi wapate huduma bora na waiamini Serikali yao inayotoa fedha kwa ajili ya kuwahudumia, fedha ilitolewa ya  kukarabati vituo vya afya vilivyopo na inatolewa  kwa awamu, na kituo hiki  kilipewa million mia 500, nimekuja kuona kazi iliyofanyika kama na wengine walivyokwisha pita, lakini hasa  niwahamishe nyie juu ya utoaji  elimu kwa wananchi  kwa huduma za kiafya na uchangiaji utakaoleta tija baada ya Wananchi kuhamasishwa ipasavyo, kazi kubwa mnafanya lakini tuhamasishane

Vituo hivi vikisha boreshwa vikatoa huduma stahiki suala la vifo vya wamama wajawazito na watoto vitapungua na kubakia kidogo tofauti na idadi niliyosomewa hapa  kwa vifo vya malaria, wamama wajawazito na watoto.

Aidha naomba Kituo hiki kiwe na Mashine ya X-ray, kwani haipo sababu ya mtu kusafiri umbali mrefu wakati mnaweza kukusanya mkatafuta mashine hiyo ikawepo hapa kwa kwaajili ya kutoa huduma ya X-ray kwa  Wagonjwa,  tengeni eneo la chumba cha X-ray iwepo hapa ikiwa ni pamoja na kujenga uzio wa kuzunguka Kituo hiki na kuweka mabango yanayoonesha kwamba hiki ni kituo cha afya cha Serikali kinachotoa huduma kwa wagonjwa.  Alisema naibu Katibu “.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.