Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kibondo ahimiza wananchi kudumisha amani na mshikamano katika maeneo yao ili kuweza kuyafikia maendeleo ya kweli katika wilaya yao.Aliyasema hayo katika maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru wa Tangayika yaliyofanyika kiwilaya katika kata ya Kumsenga jana tarehe 8/12/2022 ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.