Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibondo Mhe.Hamis Tahiro amesisitiza mamlaka zinazo husika na utoaji wa mikopo ya asilimia 10 itolewe kwa kuzingatia kanuni na mingozo iliyowekwa na serikali mikopo hiyo iweze kwanufaisha wananchi wote kama ilivyoelekezwa na ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2020.ALiyaesma hayo alipozungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi vyereheni 21 kwa vikundi vya ujasiriamali tarehe 29/11/2022 wilayani hapa.Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.