• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mwenyekiti Kibondo ‘aapa kula sahani moja na wapiga dili’

Posted on: February 28th, 2018

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya kibondo. Mhe.Cup-kee ameapa kwamba, ‘atakula sahani moja na wapiga dili’ katika Halmashauri Wilaya ya kibondo.

 Ameyasema hayo mapema wiki hii wakati wa kikao cha dharura cha kamati ya fedha uchumi na mipango kilichoitishwa na kufanyika katika ukumbi jengo la umoja wa vijana lililopo Wilayani kibondo katika mkoa wa Kigoma.

Akisisitiza suala hilo Mhe. Cup-Kee alisisitiza  kuwa, ‘hatakubali  kuona watu wanajineemesha kwa fedha za Halmashauri wakati huohuo lawama zikielekezwa kwa wanasiasa kushindwa kuwasimamia watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo’.

Kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma za mwaka 2004, mfanyakazi yeyote akishitakiwa kwa kosa la jinai atalazimika kusimamishwa kazi.  Hataruhusiwa kuendelea na kazi, sheria hiyo iliwahi kumng’ata  aliyekuwa mkuu  wa idara ya maji, afisa mipango na mhandisi wa ujenzi wilayani Kibondo miaka ya 2000.

Suala la kuwaadabisha wapiga dili hapa  kibondo   sio geni kwani mwaka 2017 mwanzoni, Mkurugenzi Mtendaji, Juma Mnwelle alimchukulia hatua za kinidhamu kaimu mhandisi wa ujenzi kwa sheria hiyo hatimaye alisimamishwa kazi. 

Kitaifa, baadhi ya viongozi walituhumiwa kujiingiza katika vitendo vilivyo kinyume na maadili ya utumishi wa umma ikiwemo kutuhumiwa kupiga dili akiwemo aliyekuwa  Waziri Mkuu wa Tanzania wakati wa serikali ya awamu ya nne iliyokua ikiongozwa na Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, Ndugu Edward  Lowassa kuhusiana na  Richmond.

Suala la kujiuliza ni je mtu akishitakiwa kwa makosa ya jinai au kutuhumiwa kwa kosa la jinai anaweza kuendelea kufanya kazi kabla tuhuma dhidi yake hazijatolewa maamuzi na mahakama?

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.