Mwekezaji Ndugu Jamali Tamimu ameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kukubali kumzindulia mradi wake wa kituo cha kutoa huduma za kuuza mafuta ya magari(sheli) ambacho amekijenga kwa gharma ya T.sh 320,000,000.Kituo hicho itasaidia kutoa huduma kwa wananchi wa kata ya mabamba na kata za jirani na hivyo kupunguza adha na usumbufu kwa wananchi wa kata hiyo na maeneo ya jirani.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.