• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA KIBONDO AZINDUA UPULIZIAJI DAWA YA UKOKO

Posted on: October 3rd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Kanali Aggrey John Magwaza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amezindua zoezi l upuliziaji dawa ya ukoko majumba. Upuliziaji huu utafanyika katika wilaya ya Kibondo na Kasulu.

 Zoezi hili la upuliziaji litafnyika kuanzaia tarehe 5 Oktoba 2022 hadi 5 Novemba 2022, hivyo aliwahimiza wananchi kutoa ushirikiano ili kuweza kuitomeza malaria.

Katika mkutano huo Mganga mkuu wa Mkoa Dkt. Jesca alieleza kuwa pamekuwa na mafanikio katika kutekeleza mradi huu kwa kupungua maambukizi ya malaria katika kipindi cha awamu tatu zilizopita. Kabla ya kuanza kwa utekelezaji wa mradi huu, idadi ya wagonjwa wa malaria waliofika katika vituo vya huduma za afya kwa mujibu wa utafiti mwaka 2017/2018 Mkoa wa Kigoma ulikuwa na kiwango kikubwa cha viashiria vya malaria kwa asilimia 24. Wilaya ya Kakonko iliongoza ikiwa na asilimia 35.

Katika upimaji wa malaria kwa wanafunzi mwaka 2017/2018 kilikuwa aslimia 38.4. Mwaka 2019 kiwango cha maabukizi kwa wanafunzi waliopimwa kilipungua na kufikia asilimia 29.1.

Mwaka huu kiwango cha maabukizi ni asilimia 11.9.

Vile vile takwimu zinaonesha kuwa asilimia 30 ya wagonjwa wa nje waliofika katika vituo vya kutolea huduma za afya kwa mwaka 2017 walikutwa na Malaria. Kiwango hiki kimepungua  na kufikia asilimia 14.1 kwa mwaka 2021.

Katika wilaya zinazotekeleza mradi huu, maambukizi ya malaria yamepungua.

Kwa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo maambukizi yamepungua kutoa watu 507 kati ya watu 1000 kwa mwaka 2019 hadi watu 203 kati ya watu 1000 kwa mwaka 2021.

Kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu maambukizi yamepungua kutoa watu 493 kati ya watu 1000 kwa mwaka 2019 hadi watu 195 kati ya watu 1000 kwa mwaka 2021.

Katika radi huu unatekelezwa katika wilaya za Kibondo na Kasulu. Katika awamu hii ya nne wamelenga kuzipulizia nyumba 237,727 zikijumuisha kambi za wakimbizi za Nduta na Nyarugusu. Mchanganuo wa majengo hayo ni Halmashauri ya wilaya ya Kibondo(102,133) kati ya majengo hayo Kambi ya Nduta ni18,181 na Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu(135,594) kati ya majengo hayo Kambi ya Nyarugusu ni 35,617.

Mradi huu pia utanufaisha jamii kwa kutoa ajira za muda kwa wananchi wa Wilaya za Kasulu na Kibondo. Hayo yalielezwa na mwakilishi wa mkuu wa mradi wa Abt Associates Dkt. Godian Mkompodis.

Malengo ya upuliziaji ni kufikia asilimia 85 kama inavyoelekezwa na shirika la Afya Duniani(WHO).

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.