Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Kanali Aggrey Magwaza amekabidhi pikipiki zipatazo 34 kwa maafisa kilimo wapatao 27 na watendaji wa kata wapatao 6 leo tarehe 27/2/2023 ambapo amewapa maelekezo kuwa vyombo hivyo vya usafiri wakatumie katika kutoa huduma kwa wananchi wa maeneo yao.Pikipiki hizo zimetolewa na wizara ya Kilimo pikipiki 27 kwa maafisa kilimo na wizara ya Tamisemi imetoa pikipiki 6 kwa watendaji wa kata.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.