Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Kanali Aggrey Magwaza(wa pili kutoka kushoto) amehitisha ziara ya ujirani mwema ya Wageni toka inchi jirani ya Burundi iliyokuwa ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruhigi Bi Tabu Emelancienne (wa tatu kutoka kushoto) kwa kukabidhi zawadi mbalimbali iwepo mchele,mafuta ya kula na zawadi za watoto kama ishara ya ukarimu na upendo kwa wageni hao ambao waifika inchini tangu tarehe 28/2/2023 kwa lengo la kudumisha mahusiano mazuri baina ya nchi zote mbili.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.