Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Kanali Aggrey Magwaza amewapongeza wananchi wa kata ya Kumsenga kwa kujitokeza kufanya kazi ya usafi wa mazingira katika sekondari mpya ya Kumsenga jana katika kilele cha maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru wa Tanganyika ambayo kiwilaya yalifanyika katika kata ya kumsenga eneo la shule ya sekondari.Mkuu wa wilaya ya kibondo aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la shule ya sekondari ya kumsenga jana tarehe 8/12/2022.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.