Mbunge wa jimbo la Muhambwe Mhe Dr Florence Samizi akiwa anaserebuka na wanafunzi wa shule ya sekondari Mkugwa baada ya kujionea ujenzi wa miundombinu ya mabweni matatu na madarasa nane ambapo mwenge wa uhuru uliweza kukagua ujenzi huo na kuweka jiwe la msingi katika ujenzi huo.Tukio hilo liltokea tarehe 17/8/2023 hapo shuleni.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.