• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MBINU MBADALA ZINAHITAJIKA KULINDA VYANZO VYA MAJI WILYA YA KIBONDO

Posted on: June 4th, 2018

M  wakiwa 124.518  taarifa zilizopo zinaonyesha kwamba,  kwa kila mwaka  watu wanaongezeka     kwa  27asilimia.

Kabila kuu  la wakaazi wawilaya  ya kibondo  ni  waha wenye asili  ya kibantu,shughuri kuu ya kuwaingizia kipato  wananchi  wakibondo  ni  kilimo  cha mahindi ,maharge,mtama,mihogo   karanga  ndizi  na ufugaji wanyuki  na kwakiwango  kidogo ni  wafugaji wangombe ,pia ni wawindaji wa wanyama  wa polini.

Chanzo  cha habari  hii kimejikita zaidi  katika suala  la uhitaji wa maji katika wilaya ya kibondo  hususan  katika  kijiji cha kumuhasha.Kumuhasha nimiongoni  mwa vijiji 50 vinavyo unda wilaya ya kibondo,kijiji hiki kiko katika kata ya murungu upande wakasikazini na kusini pia kijij hiki kinawakaazi 6,084 miongoni mwao wanawke ni 3,120 na wanaume ni 2,964 kijiji cha kumuhasha kina vitongoji 9 ambavyo ni Nduta,katazi,kumuhasha,chigala,,ibohero,nyamata,mbuguni,kiswenga lukangalazo na migombani.shughuri  kubwa ya kuwaingizia kipato wananchi  wa kumuhasha ni kilimo,ufugaji na ufugaji wanyuki pia utunzaji wa mazingira.Huku shirika  la OXFAM likiwa ni miongoni  mwa mashirika yanayopambana kuhakikisha linaondoa   tatizo  la maji   kumuhasha.

Kwa sasa hitaji lamaji  kumuhasha nikubwa kwani ili kufika eneo la  kisima cha maji nilazima utatembea  mwendo  ambao hugharimu kiasi cha masaa 4 hadi 5  ingawa lengo  la serikali hadi ifkapo 2025 mtu anaye hitaji kuchota maji atatatikwa  kutembea mwendo usio zidi mita 400.Hali hii ya  upatikanaji maji kwa urahisi  ikifikiwa uchumi utakua haraka kumuhasha  .

Kwa mujibu  wa  sensa ya watu na makaazi iliyofanyika  huko kumuhasha  mwaka 2012 ilionyesha kwamba  kumuhasha  ilikua na wakaazi 6.084 na kwamba  kwa wakati huo hitaji lamaji kwa siku ililkua lita 363440 kwa siku.Mbunge wa jimbo  la muhambwe  Mh,Nditye  akiwa pamoja  na mwenyekiti wa halmashauri  ya wilaya  ya kibondo Mh Kap kiii na mkurugenz Mtendaji  wa  halmsahauri  ya  wilaya  ya kibondo Ndg  Juma Mnwelle  wa mewatoa  hofu  wananchi  wa  kibondo  kwamba, wawe  watulivu  wa kati  wowote   suala  la ukosefu wa maji kibondo  litabaki  kua historia. 

 

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • KAMPENI YA UGAWAJI VYANDARUA YA ZINDULIWA KIBONDO

    March 15, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.