Kukamilika kwa ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa katika shule ya Msingi Maloregwa kutapunguza msongamano wa wanafunzi katika shule hiyo ambayo awali madarasa yaliyokuwepo yalikuwa hayatoshelezi.Hayo yamesemwa na afisa Elimu wa wilaya ya Kibondo bi Mgeni katika hafla ya kukbidhiwa kwa ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa katika shule ya Msingi Maloregwa tarehe 16/12/2022.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.