Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 Lt Josephine Mwambashi ametoa maagizo kwa viongozi wa Wilaya ya Kibondo kuwa wananchi washirikishwe kikamilifu kwenye miradi ya maendeleo ili waweze kuona jinsi fedha za umma zinavyotumika na hii itasidia katika uwazi na uwajibikaji wa fedha za umma.Alitoa maagizo hayo katIka hafla ya uzinduzi wa Zahanati ya Kumwambo tarehe mwezi Oktoba 2021.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.