• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KIBONDO YAAHIDI KUTOA MIKOPO KWA WANAWAKE NA VIJANA

Posted on: March 17th, 2018

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Moshi Husein ameahidi kufuatilia na kuhakikisha  Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo  inatenga na kutoa fedha kwa ajili ya kuwakopesha wanawake na vijana na matibabu bure kwa wazee kuanzia miaka 60. 

Akizungumza katika siku ya wanawake duniani iliyofanyika kiwilaya katika Kijiji na Kata ya  Nyaruoba hivi karibuni,  Ndugu Moshi Husein amesema kwamba Serikali imetoa maelekezo kwa Halmashauri kutoa mikopo kwa wanawake na Vijana ili wajikwamue kiuchumi na kuacha kujishughulisha na mambo maovu kama vitendo vya ngono na uhalifu hivyo atahikisha hilo linatekelezwa.

Aidha wazee kuanzia miaka 60 wanatakiwa kupewa matibabu bure hivyo zoezi hilo linatakiwa kufanyiwa kazi kwa haraka ili kuendana na kasi ya Serikali ya awamu ya tano.

Mwakilishi wa shirika la kuhifadhi wakimbizi duniani ‘UNHCR’ tawi la Kibondo, Dioniz Biligwa amepongeza kauli mbiu ya siku ya wanawake duniani inayosema, ‘Kuelekea uchumi wa viwanda tuimarishe usawa wa kijinsia na uwezeshwaji Wanawake Vijijini’ na kusema kauli hiyo ikitafsiriwa kwa vitendo Tanzania itakua nchi ya mfano Afrika na duniani.

Wakati huo mwakilishi wa shirika la ‘Good Neighbours’, Ruth Lawrence ameeleza kwamba kazi yao kubwa ni kufundisha wakimbizi elimu ya ujasiriamali kama biashara, ushonaji, ususi na kilimo cha kitaalam

Wanawake wametoa maombi kwa Serikali Wilayani Kibondo hususan vyombo vya dola kuingilia kati na kutokomeza vitendo vya rushwa ya ngono na ubakaji kwa wanawake na kueleza kuwa wanapinga mfumo dume unaosababisha wanawake kukosa fursa ya kumiliki Uchumi.

Mashirika mbali mbali yaliyoshiriki siku ya wanawake duniani hususan Help Age International, Good Neighbours Tanzania, Plan International yamekuwa yakihudumia wakimbizi katika kambi tatu zilizopo mkoani Kigoma ikiwemo kambi ya Mtendeli iliyopo Kakonko, Nduta iliyopo Kibondo na  Nyarugusu iliyopo Wilayani Kasulu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • KUITWA KAZINI June 26, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAFANYA MAFUNZO KWA WASINAMIZI NA WASINAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA MUHAMBWE HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

    October 26, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA MAFUNZO KWA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA WA VITUO JIMBO LA MUHAMBWE

    October 25, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KIBONDO ATOA HAKIKISHO LA USALAMA SIKU YA KUPIGA KURA

    October 23, 2025
  • DC MAGWAZA APOKEA MWENGE WA UHURU 2025 KATIKA WILAYA YA KIBONDO

    September 16, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • yamitoto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777