• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KATIBA YA TANZANIA YA 1977 YA KUDUMU INAPIGA MARUFUKU BIASHARA YA UTUMWA .LUTENGANO.

Posted on: June 12th, 2018

KATIBA YA   KUDUMU YA 1977  YA TANZANIA, 

UTUMWA NIKOSA LAJINAI.

Faini  50.000.000  Edina  lutengano   0713975000

Biashara  ya utumwa  maana yake  ni usafirishaji,uhifadhi,upokeaji,wa mtu au watu kwa  njia ya kujia ya  malipo, utekajinyara  ,vitisho na  ulaghai kwa lengo  la unyonyaji. 

 Katiba ya Jamhuri ya  muungano  wa Tanzania ya 1977 ibara 9 inasema   Lengo la katiba  hii nkuwezesha ujenzi wa Jamhuri ya muungano na serikali ya mapinduzi Zanzibar au wa chochote kati ya vyombo vyake na udugu na amani kutokana na kufuata siasa ya ujamaa nakujitegemea ambayo inasisitiz utekelezaji wa misingi ya kijamaa kwa kuzingati mazingira yaliyomo katika jamhuri ya muungano . kwahiyo mamlaka ya na vyombo vyake vyotenvinawajibika kuelekeza sera na shughuri zake zote katika lengo la kuhakikisha  {c} kwamba shughuri za serikali zinatekelezwa kwanjia ambayzo zitahakikisha kwamba utajili wa Taifa unaendelezwa ,unahifaadhiwa na unatumiwa kwa manufaa ya wananchi wote kwa ujumla na pia kumzuia mtu kumnyonya mtu mwingine. 

{f} Kwamba  heshima ya binadamu inahifadhiwa na kudumishw kwa kufuata kanuni za tangazo la dunia kuhusu haki za binadamu. Hapo ndipo huwa  napenda  kutoa rai kwamba,  

Tusipokua makini  tutarudi  ukoloni.

Rai yangu daima ni kuwataka Watatnzania wenyewe wamiliki  uchumi kama hakikisho  pekee kwamba maliasili yao na nguvu zao vinatumika kuwanaufaisha wananchi wanchi hii badala ya kunufaisha kundi  la  watu   wachache hii ni kauri ya .  Mh,Raisi  John pombe  Magufuri.

Miongoni mwa misemo yenye radha ambayo inarudisha matumaini kwa  wa  Tanzania ambayo imetolewa na   utawala   wa awamu  ya tano kwa watanzania   nikauri  aliyotolewa na  Mh;Rais  wa  Jamhuri ya muungano  wa Tanzania John  Pombe Magufuri  isemayo  .Hakuna sababu ya pamba inayo limwa jinja (Uganda)  iende ulaya kutengeneza nguo na ajira kwa vijana wao na nguo ambazo wanavaa wazungu wakizichoka wanazirejesha kwetu kama mitumba. Makala yangu inajikita  katika  mustakabari  wa taifa  letu ambalo hadi sasa limetimiza  miaka  yakujitawala kama taifa huru miaka  (57)lakini wakati  huo huo  baadhi ya  watanzania  wenye mawazo  ya kunyonya wenzao  bado  wa naratibu na wanasimamia   biashara  ya kuuza watanzania wenzao  kwa ghiriba,utekaji na  vitisho  kwa  tama ya  kujipatia  utajiri  wa haraka  haraka  bila  kujali  madhara  yanayo tokana na biashara  hii ya  utumwa  kwa  kutumia   mbinu  mpya, ,mtindo mpya na technologia mpya.Kabla  sijaingia kwa  undani  kuzungumzia   athari  za utumwa  nimeona itakuwa     nivizuri  kukutaarifu  ndugu mtanzania mwenzagu   kwamba  tarehe  8.6.2018 hapa wilayani  kibondo  imefanyika  semina ambayo  imesaidia kuwaelimisha wahusika wa   asasi zisizo  za kiserikali ,taasisi mbalimbali za kiserikali  na baadhi  ya  idara  pia vitengo  kutoka  Halmashauri ya  wilaya  ya  kibondo   maana  ya utumwa,  unyonyaji na  madhara    yake  kwa  jamii. Kama  alivyojitaja muendesha semina    kwa majina  mawili kwamba anaitwa   EDINA   LUTENGANO Na za  simu  0713 975000  nakwamba anatoka katika  asasi isiyo  ya kiserikali iitwayo  IOM .Lutengano  amewafafanulia wanasemina hao kwamba,maana  ya  utumwa  kama  ilivyo  fafanuliwa  ndani  ya Protocal  ya umoja  wa  matifa  utumwa niusaili,usafilishaji,uhifadhi,upokeaji  wa mtu au kundi lawatu  kwa njia ya vitisho, malipo .nguvu,utekaji nyara udanganyifu ama ulaghai kwa lengo la unyonyaji zaidi  ya hapo Edina  ameelimisha kwamba biashara hii  haramu  ni yapili  duniani  kwa  kuingiza faida.Biashara  nyingine    haramu   kwa kuingiza   faida duniani ni  ya  madawa ya kulevya.Lutengano ameenda  mbali zaidi pale alipo alipo fafanua  kwamba,  madhara  makubwa  yanayo  wakuta   wahanga  wa biashara  hii ya utumwa  nikwenda  kutumikishwa  kingono,kuuawa  nakuondolewa  baadhi  ya  viungo  vya mwili  kama  mafigo   ,mapafu, ini  naviungo vingine  ambavyo  huko ughaibuni   wanavihitaji  kwa  ajili   ya  kuviuza kwa  wale  ambao  vyakwao  vimekwisha  athirika   mbaya  zaidi  ni kwamba  wahanga  wa  utumwa   hutengwa na familia  zao  amesema lutengano.    Lutengano  amezidi kueleza   kuwa biashara ya  utumwa   inayofanyika humu  ndani  ya  nchi  niile  ya  kwenda  kuhamisha

   watoto na  watu wazima kwa njia ya vitisho ,ulaghai utekaji , kisha  kuwapeleka   maeneo  mengine  hasa  mijini husuan Dar ,Arusha,  Mbeya, Mwanza,Morogoro nk  kwa  ahadi  ya kuwasomesha  ,kuwapa ajira,lakini  wakisha  fika  huko huishia kuwa  watumwa  wangono na kuuzwa kwa wale  wanaowahitaji.Lutengano  amesema  hata  hivyo  hata hawa  wa  naofanya  biashara  ya utumwa  humu  ndani   ya nchi wakinaswa faini ni 50.000.000 

Je? Sheria ya  kudhibiti  biashara hii haramu  inasemaje? Kwanza  ijulikane  kwamba  sheria  hii  ipo ilipitishwa mwezi  june  2008 sheria  yenyewe  infafanua  kwamba,   adhabu  ya anayetiwa  hatini  kwa  kosa  hili  ni faini  inayoanzia shilingi  2000,000    au 50.000.000 au kifungo kisichopungua kuanzia  mwaka  1 hadi 7  je? Unawajua magwiji wanao jihusisha    na biashara  hii  ya utumwa Hususan hapa kwetu  Tanzania?   Imetanabaishwa   kwamba,  wanaojihusisha   na biashara  hii ni baadhi ya  ndugu wakaribu   wa   wahanga  wa  biashara  hii  ya utumwa ,majirani,wazazi, marafiki,  na  walezi.  Pia imegundulika  kwamba,wakati mwingine  kinachopelekea ndugu  hao kujiingiza katika biashara hiyo  haramu   ni elimu  duni,na tamaa ya kupata  mali haraka haraka Je  unaijuaFalsafa  ya  utawala  huu wa  awamu ya tano  ulioko  chini  ya Mh.J.Magufuri? Falsafa yake inajiweka   wazi  kwamba  ujamaa  ndiyo njia sahihi  ya  kuwafanya  watu  wajihisi  wao  ni  ndugu,misingi  hiyo inasema  hivi ,wanadamu wote  nisawa.kwamba kila mtu anastahili  heshima .kwamba kila  raia nisehemu  ya taifa na anayohaki  ya kushiriki sawa na wengine katika serikali tangu zile  za mitaa za mikoa,hadi serikali kuu  kwamba kila  raia anayo  haki ya uhuru wakutoa mawazo yake bila  kuvunja  sheria  ,kwenda anakotaka ,kuamini dini anayotaka,kukutana na watu ilimradi havunji sheria, kwamba kila mtu anayohaki ya kupata malipo kutokana nakazi aliyofanya ,kwamba  raia wote  wanamiliki utajili wa asili wa nchi hii  ukiwa kama dhamana kwa vizazi vijavyo.kwamba ilikuhakikisha kuwa uchumi wanchi unakwenda sawa serikali lazima iwe na mamlaka kamili juu ya  njia muhimu ya kukuza uchumi.kwamba ni niwajibu wa serikali ,ambayo  ni ya watu wenyewe ,kuingilia kati  kwa vitendo maisha ya uchumi wa taifa  ili kuhakikisha ustawi  wa  raia   na kuzuia mtu kunyonya mtu mwingine au kikundi kingine  au kuzuia limbikizo la utajiri kufika kiasi ambacho  hakipatani na  siasa  ya watu  wote kuwa sawa.Kwa  falsafa  hii  nikwamba  njia kuu  za uchumi kam  Ardhi, misitu,madini,maji,mafuta na nguvu  za umeme njia za bahari ,usafirishaji,mabenki ,bima biashara za kigeni,simenti mbolea, nguo , vinatumika  kwa  maana ya kuwanufaisha  wa  Tanzania  wote.Ndio  maana nilianza  na na kauli isemayo   tusipokua   makini  tutarudi  ukoroni .Unaweza  kuona   biashara  hii ya utumwa  ingawa  ni haramu  lakini  wanaonufaika  nayo  wanaiona  kama  hakuna  njia  murua  ya  kuboresha maisha yao.Mwaka  1888 ilimvuta hata   Sultani  Khalifa  kuja   Zanzibar kunufaika na biashara hii  ya utumwa Khalfa   aliingia  kiwewe baada ya mataifa  yaliyokuwa  wateja wake  wakubwa  wa  kununua  watumwa kusain  baada  ya kusaini mkataba wa  kukomesha  biashara  ya  utumwa.  Biashara mbayo kwa  leo  inaratibiwa kwakutumia    sayansi  ya  hali ya juu   na kwakutumia   ,technolojia  mpya,elimu  mpya  na  gharama  mpya.ijulikane  kwamba Waliokua  wateja  wa  sultani kahalifa wa  kununua watumwa walikua  Wajerumani,Waingereza,Wataliano,Wareno,wote hawa  baada  ya  mapinduzi  ya viwanda  kule  ulaya  walisimamisha  biashara  hii  kwa  kutumia  viongozi  wa dini na  sheria  ya kuzuia  biashara  ya utumwa,ingawa  sheria  ya  kupambana  na utumwa ilipitishwa na magwiji  hao , Lakini  Ufaransa  iligoma  kusaini  mkataba huo wao    waliendelea  kufanya  biashara  hiyo  haramu  na  sultan  Khalifa  wazanzibar   waliendelea  kuuza watumwa katika visiwa  vya  Ngazija,Shelsheli,Reunion na Madagaska.Hapa  Tanzania  ninini  kitatokea ikiwa  magwiji  hao  wa kuuza   watanzania  wenzao {watuma} hususan  vijana   wenye nguvu  wakimalizika   ambao  kwa  asili  ndio  nguzo  kuu  ya   kuzalisha  mali kama kilimo ,ufugaji ,uvuvi,nk?

 

 

 

 

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI MSAIDI WA KUMBUKUMBU June 27, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MABADILIKO June 17, 2025
  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO MADREVA June 25, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA KIBONDO AWAPONGEZA NA KUWAAGA WAHE. MADIWANI

    June 20, 2025
  • WAZAZI KUHIMIZWA KUTETEA NA KULINDA MASLAHI MAPANA YA MTOTO

    June 19, 2025
  • MAZINGIRA YETU AFYA YETU

    June 05, 2025
  • WATENDAJI WA HALMASHAURI WAPEWA AGIZO LA KUHAMASISHA LISHE SHULENI

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.